Ayo ndo makosa yake kama kweli ndo makosa watanzania ni maiti tunashidwa kumlinda mzalendo polkosa la polepole ni kujaribu kuweka wazi sababu za kifo cha magufuli...
kuweka wazi ufisadi wa rostam...
kuweka wazi makosa ya ccm kwenye uteuzi wa mgombea uraisi...
na mengine...
Anzisha maandamano kesho ya kumdai Polepole, usitutegemee sisiAyo ndo makosa yake kama kweli ndo makosa watanzania ni maiti tunashidwa kumlinda mzalendo polepole
Sasa ni zamu yake kuwekwa kidoleKuna picha moja ilionekana kaweka kidole kati kati ya tundu la vidole vyake.
Huu ndio ukweli jamaa anaenda kufa bure kabisa. Alitakiwa kusema mabaya yote yaliyofanywa kipindi cha Magu na atubu dhambi. Kuuliwa kwa Ben saanane kupigwa risasi kwa lissu n.k. Sasa unaenda kufa kwa kusema mambo ambayo yashasemwa. Huyu jamaa mnisamehe alikuwa hana mtu wa kumshauri. Huyu alitakiwa aje na siri nzito pamoja na ushahidi wa mambo makubwa yaliyofanywa kipindi cha Magu. Na akiri "tatizo sio mtu ni mfumo". Sasa mtu anakuja na kampeni tatizo ni mama samia . Halafu anafia kauli za kipumbavu. Tatizo sio samia, tatizo ni mfumo wa serikali ambao umetekwa na CCM.Anavuna alichopanda. Tulimwambia sema yote sepa zako. Mwenyewe akajifanya kuleta tamthilia. Ona sasa wahuni wamepita nae.
Ukiamua kumwaga mchuzi binua kabisa bakuli, sio unamimina.
Wewe kichwa yako inashida sana, hilo ndio kosa? matako yakoKosa la Polepole ni kuusaliti mfumo aliokuwa anautumikia. Ukikubali kufanya hizo kazi inabidi uishi na siri hizo hadi umauti ukukute.
Ni wapi umewawasikia watanguluzi wa hizo nafasi wakiropoka hovyo? Uliyoyaona kwenye mfumo ni siri ya mfumo
Ngoja nianze kumuuliza Mwashambwa?Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema?
Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli.
TANZANIA tuna safari ndefu sana Polepole pamoja kusema ukweli wote vyombo vya dola ndo vilitakiwa kufanyia uchunguzi kuhusu masuala aliyokua anasema Polepole lakini vyomba dola kimya viapo vyenu vyombo vya dola kwa ajili ya nchi sio kikundi cha watu flani nimesikitika kumbe hatuna Vyombo vya dola tuna vyombo kwa ajili watu flani inasikitisha sana. POLEPOLE kosa lake ni kusema jamani kuna wezi wa rasilmali za nchi mtu anayewaonyesha mwizi ndo anakua mtu mbaya hii imeishangaza sana baada ya kuitwa kupewa ongera kwa kua mzalendo kwa nchi yake ndo anageuka kua adui hivi viapo kwenye vyombo vya Usalama vijitafakali
Kashoggi ni Saudia Arabia, wewe utamsema MBS halafu uwe salama, na unajipeleka ubalozini kwao? Angalau nchi za Magharibi, Ulaya, USA, UK, NZ, Australia watakukamata halafu upelekwe mahakamani ukajibu shtaka. Huu utaratibu tulionao sasa Tanzania ni mbaya, utakachofanya kuikosoa serikali hata kama ni jambo la kweli adhabu yake ni kifo.....Hakuna tena kupelekwa mahakamani, unatekwa na kupigwa vibaya sana, kubakwa, kulawitiwa, kuteswa na mwisho kuuawa na maiti kutupwa kwenye mamba. Samia na wenzake wameleta system mbaya sana nchi hii, haya mambo ya kutekana yalianza wakati wa Jakaya Kikwete, akafuata Magufuli na sasa Samia. Shame on them, watakufa vifo vibaya sana.Sio Africa karibia Dunia nzima kumbuka Jamal Kashogg.
Bob Marley
Malcom X
Nk
Ukiponda Wenye nguvu na kutoa Siri zao au kupitia kwenye maslahi Yao hauachwi salama.
Polepole muache anywee kikombe alichokuwa anawanywesha akina Ben Saanane wakati wa Magufuli. No regretsWewe kichwa yako inashida sana, hilo ndio kosa? matako yako
Kwa hiyo wametengeneza hiyo mifumo Ili walinde maovu Yao?? Pole pole ameongea baada ya kuona nchi inateketea unaweza kuhesabu hilo ni kosa?Kosa la Polepole ni kuusaliti mfumo aliokuwa anautumikia. Ukikubali kufanya hizo kazi inabidi uishi na siri hizo hadi umauti ukukute.
Ni wapi umewawasikia watanglizi wa hizo nafasi wakiropoka hovyo? Uliyoyaona kwenye mfumo ni siri ya mfumo
Anaongea baada ya kutolewa u-Katibu Mwenezi? Haya alipaswa ayaongee akiwa kwenye Serikali ya Magufuli.Kwa hiyo wametengeneza hiyo mifumo Ili walinde maovu Yao?? Pole pole ameongea baada ya kuona nchi inateketea unaweza kuhesabu hilo ni kosa?
Uzuri duniani wote tunapitaAnaongea baada ya kutolewa u-Katibu Mwenezi? Haya alipaswa ayaongee akiwa kwenye Serikali ya Magufuli.
I can assure you kama Polepole asingeondolewa nafasi ya Katibu Mwenezi asingesema hayo anayosema.
Muache anywee kikombe alichowanywesha wenzie akina Ben Saanane
Mtu anakwambia unaibiwa ndo anageuka kua mbaya dunia hii TumerogwaKosa la Polepole ni kuwaletea taarifa Watanzania jinsi nchi ilivyoharibiwa na genge la Samia.
Kosa lake ni kutafuta muafaka wa kitaifa, maelewano, maridhiano ya wadau na wananchi wote kabla ya uchaguzi, ili kurudisha taifa kwenye mstari, tusidumbukie kwenye machafuko.
Kosa la Polepole ni kupigania haki, uwajibikaji, utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, maisha bora kwa kila Mtanzania, kosa lake ni kupinga utekaji, utesaji, mauaji na ufisadi mkubwa unaondelea sasa hivi Tanzania.