niko serious....au umekariri lile alilotengeneza na huyo sijui Kalashnikov sijui kitu gani.......
hilo 22 mimi mwenyewe ndio designer na producer hapohapo.......chezea AP wewe.......Automat Preta......sio AK 22....ni AP 22.......
halafu wewe.....toka uvunje jungu juzi.....nafuatilia mienendo yako kwa ukaribu sana.......acha hii tabia......hama hiyo nyumba....utaaibika kwa wajukuu zako....
View attachment 59508[/QUOTp
preta acha kunfuraisha yan asprin kavunja jungu kwa kuoga nje!! teh teh teh!!
halafu wewe.....toka uvunje jungu juzi.....nafuatilia mienendo yako kwa ukaribu sana.......acha hii tabia......hama hiyo nyumba....utaaibika kwa wajukuu zako....
View attachment 59508
Usipotezee wakati kila mtu anajua kilichokutokea mwaka jana