Nani anaweza kuniazima bunduki? Nina dharula

Eheeee hii ndio mashine.......sasa nielekeze inatumia dizel,petroli au kokoto............Halafu nipe hayo masharti!

k7551573.jpg

hii nimepewa na BADILI TABIA na nimefanya jaribio dogo kwenye kinywaji changu

336958770_7ae82de444_b.jpg

ha ha haaaa!!! Mkuu hii kitu inatumia mtambo wa gongo mwanawani....risasi moja tu unasambaratisha kongosho...firigisi na nyongo pembeni...Embu feedback ya hilo jaribio la hicho kinywaji...imekuwaje?
 
Kifupi TBL wamenifungia kutogusa vinywaji vyao..........halafu hiyo yako ya kutumia gongo si nitashindwa kuitumia kwa sababu kila wakati itabidi ni-test ubora wa risasi
 
Kama basi huwezi kutumia mtambo wa gongo tumia meno maana hii pia ina drivers za meno kwa hiyo ukiweka meno unafyatua tu mwanawani...Ila sasa sijui hayo utayapata wapi...Ila njoo hapa hospital ya madenge...

575647_235716796546901_163971149_n.jpg

Nasikia wanatoa meno ya bure...!!!
 
tehe tehe hii kali....one step ahead!! duh
 
Mmmmh!!...Ngoja nisogeze Ambulance,maana naona huu mwezi mtukufu watu kila siku ni kuvunja jungu hadi siku ya idd
 
Back
Top Bottom