Nani anaweza kuniazima bunduki? Nina dharula

niko serious....au umekariri lile alilotengeneza na huyo sijui Kalashnikov sijui kitu gani.......
hilo 22 mimi mwenyewe ndio designer na producer hapohapo.......chezea AP wewe.......Automat Preta......sio AK 22....ni AP 22.......

AP (Automatic pre-mature).......bado hauko serious.........Hebu kumbuka siku yako ya harusi namna Judgment alivyomtomasa cacico na bado hukustuka!!!!!!!!!!!

pictures-of-cheaters13.jpg
 
Last edited by a moderator:
Asee platozoom hebu soma signatur yangu afu jana nilikuwa club maisha na totoz hebu weka ile picha ulinipiga bana sio huu uzushi wako apa
 
Last edited by a moderator:
Asee platozoom hebu soma signatur yangu afu jana nilikuwa club maisha na totoz hebu weka ile picha ulinipiga bana sio huu uzushi wako apa

Usidanganye, nachokumbuka nlijificha kwa mbali nikakuona unakula dansi la asili msata

images
 
Last edited by a moderator:
Tena fasta lakini iwe full risasi..kuna akina Erickb52, Asprin, Young_Master, gfsonwin na Bishanga nasikia wana AK 47 ningezipata na hizo nafikiri kazi ingekuwa rahisi.

Looh na Preta nasikia ana gobole,could u hire me pliz

Ha ha ha haaaa!!! Pole sana mkuu...Ile AK 47 yangu nilishaiza kwa rijambazi rimoja kule kwa kina bashaija...Siku hizi natumia Sniper Rifle mwanawani...kitu kinaweza kushoot mtu hadi umbali wa 2.47Km. Chezea sniper weye...!!! Hiyo chini ndio picha yake siku ya kwanza wakati nafanyia majaribio...

AS-50British-world.guns_.ru_.jpg


Kama unaihitaji ni PM nikuazime ila vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Young_Master Eheeee hiyo ndio mashine.......sasa nielekeze inatumia dizel,petroli au kokoto............Halafu nipe hayo masharti!

k7551573.jpg


hii nimepewa na BADILI TABIA na nimefanya jaribio dogo kwenye kinywaji changu

336958770_7ae82de444_b.jpg
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom