Nani anaweza kukisia huyu ninani?????

Hamna kiasi wala kisisi?

Acheni tabia za kuwasexualize minors, haipendezi
 
umeonaaaaaaaaaaaaaaaaa............................
 
Kamekua kakubwa mara ya mwisho nilikaona illionis wakati baba yake bado ni gavana
 
Wee utakuwa Mnyamwezi mwenzangu tu, eti MALIA. Sema MARIA bana.

Sisi Wanyamwezi tunashida sana na hizi L maana kila palipo na R, tunaweka L. Nilisoma ALUSHA Sekondali......
Kaka wewe ni nomaaa.......huyu ni first born wa obama anaitwa malia, bonge la mtoto, second born wake anaitwa sasha katoto nako kapo kwenye list ya uzuri, katoto haka ka sasha kanaaminika katakuwa kamwansiasa nako kama baba yake....pia kapo vizurisana darasani kuliko hata dada yake malia....:A S 465:
 
utofauti wake huyu wa kwenye picha na wa kwetu hapa nyumbani ninini???
 
Wee utakuwa Mnyamwezi mwenzangu tu, eti MALIA. Sema MARIA bana.

Sisi Wanyamwezi tunashida sana na hizi L maana kila palipo na R, tunaweka L. Nilisoma ALUSHA Sekondali......

Siyo Wanyamwezi tu. Tatizo hili liko kwa Wasukuma wote.
 
View attachment 63530
Leta maneno yako kuhusu mtoto huyu

Loh............................................................!!!
Mungu mwache aitwe Mungu. anajua kuumba dah.....!!
Nimekufa hapa mimi wanajf.....

Kuna damu ya Kijaluo katika binti huyu japo ni Mmarekani ASILI.

Obama amejaliwa BEAUTIFUl daughters kwakweli
 
Wasukuma na Wadakama ni WANYAMWEZI bana. Sema mmoja yupo KASKAZINI na mwingine yupo KUSINI.

Mmoja anaitwa MDAKAMA (Wa Kusini) ambao ndiyo wanafahamika Wanyamwezi na mwingine ni MSUKUMA (Wa Kaskazini).
Siyo Wanyamwezi tu. Tatizo hili liko kwa Wasukuma wote.
 
Hivi ameshafikisha miaka ya kutosha kiasi kwamba tunaona dalili za watu kudondosha udenda hivi? Eeh mola nusuru wanetu...
 
Kuna mtu katoa kidokezo kwa kusema ' First daughter'. Naona kapata. Huyu binti bwana ukimtazama sana anafanana na mama yake Michelle. Kwa hiyo huyu binti ni mtoto wa Barack Obama.

I see..!! mara hii uliingia JF LAB. ukafanya DNA umetoka na majibu mswano kabisa, chezea JF WEWE..!? sema tu kamchina kamekunyima haki yako ya LIKE
 
Wee utakuwa Mnyamwezi mwenzangu tu, eti MALIA. Sema MARIA bana.

Sisi Wanyamwezi tunashida sana na hizi L maana kila palipo na R, tunaweka L. Nilisoma ALUSHA Sekondali......

Pamoja na unyamwezi, bado hajakosea sana, nafikiri binti anaitwa Malia.
 
Umefikiria VEMA. Ni kweli anaitwa MALIA. Nilitaka kumchemsha tu jamaa..... hihihiiiii......

Mambo ya weekend hayo. Iwe njema kwenu nyote.
Pamoja na unyamwezi, bado hajakosea sana, nafikiri binti anaitwa Malia.
 
Wasukuma na Wadakama ni WANYAMWEZI bana. Sema mmoja yupo KASKAZINI na mwingine yupo KUSINI.

Mmoja anaitwa MDAKAMA (Wa Kusini) ambao ndiyo wanafahamika Wanyamwezi na mwingine ni MSUKUMA (Wa Kaskazini).

kwa nini wanajulikana sana kama wanyamwezi wakati ni wadakama halafu wasukuma ni wasukuma tu badala ya kuitwa wanyamwezi. Mimi huwa ninachanganyikiwa kwenye hili swala kwa sababu hata maneno mengi ya kinyamwezi ni tofauti na ya kisukuma
 
Watu hawajua kufananisha huyu mtoto mbona kafanana na Baba yake Wassira au nyie hamumwangili vizuri
 
Back
Top Bottom