Nani anaweza kukisia huyu ninani?????

Nani anaweza kukisia huyu ninani?????

bi kidude huyu jamani. haa! hamumwoni jamani? kama hamna macho jamani.
 
I can't guess. Lakini ana shepu na swaga za kichaga. Hasa wa Marangu.
 
Manzi ya Nairobi hiyo, Malia Obama. Under 18, ole wenu mliosema ooh mke wangu, dem wangu CIA wamesha wasoma jiandaeni kuelekea Guantanamobay.
 
Manzi ya Nairobi hiyo, Malia Obama. Under 18, ole wenu mliosema ooh mke wangu, dem wangu CIA wamesha wasoma jiandaeni kuelekea Guantanamobay.

Wewe...Malia ni yule mdogo. Huyu ni dadake Malia. Wanakuwa kama wamegawana sura hivi. Kadogo kamechukua sura ya Kenya, dada kabaki amerika.
 
Wajameni rusheni na picha za mabinti wa mkulu tufaidi basi!
 
Back
Top Bottom