Nani anawaajiri Lectures?

Nani anawaajiri Lectures?

Joined
Feb 22, 2014
Posts
25
Reaction score
18
Nahitaji msaada kidogo wana JF. Nataka kujua kuhusu mamlaka ya principles wa vyuo mbalimbali.

Je wana mamlaka yakuwaajiri lectures? Au ni wizara? Pia wanaweza kuwafukiza lectures wakitaka?

Naombeni majibu jamani.
 
Lecturers wanaajiriwa na Universities. Hata Mamlaka zao za Nidhamu ni Universities zenyewe. Hivyo Lecturers wanaweza kufukuzwa na Baraza la Chuo Kikuu baada ya kuwa yaratibu za shauri la kinidhamu limepitia katika Mamlaka kadha wa Kadha za Universiyy husika. Menejimenti ya Utumishi wa Umma sio waajiri isipokuwa kazi yao ni kuratibu Utumishi wa Umma kwa ujumla.
 
Lectures au Lecturers?
Mara nyingi ni uongozi wa Chuo ndiyo unawaajiri lecturers.
Kwa taasisi binafsi ni chuo ndicho kinawajiri tena ni kitivo ndicho kinatafuta watu wa kuwaajiri.
Kwa taasisi za serikali wengi wanaajiliwa na chuo lakini wanakuwa watumishi wa Umma.

Na suala la Principal au Chancellor kumfukuza Lecturer kazi ni ngumu sana kwasababu ni waajiriwa wa serikali,
Na kwa taasisi binafsi pia ni ngumu kwasababu Mtu anafanya kazi kwa mkataba fulani. Hivyo kama atamfukuza basi mtu atalipwa gharama nyingi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom