Nani anavutia kati ya hawa .

hawa ni wakike ama wakiume
 
KATI SUPER MODEL FIDELINE aka fide......
 
Aliye jishika mashavu nimempenda. Hivi anapatikana wapi?
 
aliyejishika mashavu ni kisu bwana

You mean "Kisu" like in really "kisu" kile cha kukatia nyama, chungwa n.k au.....? Enzi yangu nikiwa dogo kama Katavi sie kisu tukiita wasichana/wavulana wenye HIV status suspect.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…