Nani anavutia kati ya hawa .

Nani anavutia kati ya hawa .

wanamgombania fideline iranga waache watoani macho kibaya kwako kizuri kwa wenzako.
 
samahani wana-jf. huyo wa katikati ni mtu? nahisi nahitaji miwani yenye lensi kali!
ni mpoki yupo kwenye kurekodi kipindi cha za komedi ha ha ha ha
 
mmmmhhhh kama niliwaona maeneo hawa wadungayembe..
 
tuangalie na rangi zetu jamen!mtu mweusi anaweka nywele za gold,na isitoshe anasiriba na lipstick ya pink duh tuangalie tusijekua vituko
 
419780_173201992815997_1982029917_n.jpg
 
naomba kuuliza, hivi kwa nini MABONGE hupenda kuchekacheka hovyo?
 
nilikuwa najionaga mbaya ..nimeamini maisha ni confidence tu jamani
 
Jamani hivi huyo Fideline Iranga ndio diet hiyo mwili umekwisha hivyo au ndio ule ugonjwa?
Ila kwa kweli afadhali na siku zile alipokuwa kibonge, sasa ukondefu huo amekuwa hatazamiki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom