Nani anauza Toyota Vitz jamani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wadau nahitaji gari aina ya Toyota Vitz (used)..

Kama kuna anayeuza naomba anicheck na aweke details kabisa. Ila plz isiwe imetumika sana na isiwe toleo la kizamani. Nataka toleo B..

Niko Dar kwa sasa.. Nikipata naanza nayo safari to Morogoro..

Natanguliza shukrani..
 
Poa nitakutumia, bei labda kukupunguzia ni elf 50, nikikutumia picha utaiona na utaikubali
Mbona hujanitumia mkuu? Nasubiri tufanye biz ikiwezekana leo hii. Na je uko Dar?
 
Aweke picha lakini mie ndio mteja niliyewahi.. Usije leta ujanja mkuu ukanizidi kete
Tulia mtoto mzuri kwa hio hela gari hio utaipata bila wasiwasi..wewe tulia kama unanyolewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…