Nani anauza Toyota Vitz jamani

Nani anauza Toyota Vitz jamani

Vitz mbona ningumu sana namba c kwabei iyo 4.5 iyo niyagari namba A au B mtu mwenyeshida mapesa
 
Manual ni nzuri, lakini sidhani kama "beth" ataiweza, sababu ni complicated bila shaka anahitaji "automatic"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom