ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,857
- 131,821
k u a n d a a n a? embu J.A njo huku useme lolote mm pata kigugumizi
si umtaje tumfahamu bana...!
k u a n d a a n a? embu J.A njo huku useme lolote mm pata kigugumizi
hayo ya kweli lakin yule kaka alizid bana, tulikua hatuishi pamoja kila mtu anakaa kivyake so tunakutana weekend tu, na weekend hyo anakua na rafiki zake kibao tunakunywa so hata mda wa kukaa faragha na yeye haupo coz 2kitoka hapo ndo tutaenda somewhr na unakuta anataka nimuandae yeye huku akiwa ka2lia tu..... ndo akawa ananshangaza en unakuta si enjoy kabisa
Aahahahahh hamna pilau mimi huwa nachungulia tu sasa niltaka aende mwenyewe akajionee kulee nani anatakiwa kumandaa mwenzakehahahaa mjuze wew si bingwa wa pilau
yani! hata vibabu vinaandaa? sembuse yeye.... hahhahah!! nilimuachia mbalii
Hello everybody.
Eti jamani tuulizane na tujuzane yupi kati ya mwanamke na mwanaume anaetakiwa kumuandaa mwenzake kwa mapana zaidi kabla ya kufanya tendo la ndoa? na kwanini haswa?
Maana mpaka nimefikia nauliza swali hili kuna mpenzi wangu wa zamani tumekutana somewhere sasa nikikumbukaga vituko vyake na hili ni mojawapo, yaani yeye ilikuwa tukianza kissing nimshike huku nimshike kule in short yaani mimi ndo nimuandae yeye halafu nikimaliza tuanze kazi, bila yeye kunifanyia chochote wala kujua kama niko tayari au lah.
Sasa embu tuambiane kidogo kuhusu hili nyie mnaona yupi ndio apewe kipaumbele zaidi?