BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
...it's 'Weird' pale mtu miaka nenda rudi alikuwa anakuita Darling, mkishaachana tu anakuita "lijanaume!"
Asante BJ,
Je nje ya hapo mtu akikuita darling na wakati hamna uhusiano?
Nje ya uhusiano, unaweza kuwa umezoeana sana na mtu mwingine akakuita hivyo(inategemea na kiwango cha mazoea kwakweli).Mara nyingi kama hujazoeana na mtu hata kama unamfahamu lazima ushangae imekuwaje.
Pia kwa sisi wanawake,binafsi na rafiki zangu kwenye mawasiliano huwa tunatumia sana kuitana majina kama hayo. Mfano wewe WoS,naweza kuwa huru kukuaddress 'mpenzi au darling' ni kawaida kwa ladies.
Halafu pia wazazi kutumia kwa watoto,kwenye darling unaongezea daughter/son(mara chache na inategemea na watu wanavyoishi).
Kutokana na kitu fulani ambacho tutakuwa tumeongelea au kimekufurahisha,hiyo ni njia mojawapo ya kusifia au kuexpress fikra zako hivyo sitokushangaa. Unless umeamua tu kuiandika,ha ha...hivi nikitamka, 'BJ you are such a darling'utanishangaa, wakati huo nikisubiria mkong'oto toka kwa mpwa?
...hivi nikitamka, 'BJ you are such a darling'utanishangaa, wakati huo nikisubiria mkong'oto toka kwa mpwa?
Kutokana na kitu fulani ambacho tutakuwa tumeongelea au kimekufurahisha,hiyo ni njia mojawapo ya kusifia au kuexpress fikra zako hivyo sitokushangaa. Unless umeamua tu kuiandika,ha ha
Hakuna ubaya wowote watu wa jinsia tofauti kuitana haya majina, kwa utamaduni wa TZ watu wataona ajabu iwapo mwanamke na mwanaume wataitana honey, sweet, little boy, babe, dear nk. iwapo hao watu hawana mapenzi ya kimwili kati yao. Sehemu za ughaibuni kuitana haya majina kati ya jinsia mbili tofauti inaoneka sawa tu, maana inaashiria upendo.
My day was wonderful my dear. I hope ur day was going well too.Hey honey bunch...how was your day?
Yanaleta maswali kama yepi? Unaweza kutoa mfano au mifano na muktadha (context) wa jinsi matumizi hayo yanavyoweza kuleta maswali...Thanks
huku makazini tunaona mambo mengi sana, utakuta mume wa mtu anamwita mke wa mtu sweetie, darling n.k, sasa kama ni mkeo unasikia anaitwa sweetie na mshkaji kwakua wako close tu kiurafiki na kikazi, hapo utamuelewa mshkaji kweli, si patakua hapatoshi hapo mywife wako kuitwa sweetie?
Hakuna ubaya wowote watu wa jinsia tofauti kuitana haya majina, kwa utamaduni wa TZ watu wataona ajabu iwapo mwanamke na mwanaume wataitana honey, sweet, little boy, babe, dear nk. iwapo hao watu hawana mapenzi ya kimwili kati yao. Sehemu za ughaibuni kuitana haya majina kati ya jinsia mbili tofauti inaoneka sawa tu, maana inaashiria upendo.
Its funny..mtu unapokuwa kwenye receiving end ndipo panakuwa hapatoshi LOL!...
Neno dear naaminini halina maana ya mpenzi katika lugha yetu. huwa linatumika rasmi katika barua. Dear sir/madam maana yake nini kiswahili