Biashara kubwa ni za vigogo hivyo hawaiongopi serikali isipokuwa serikali ndiyo inawaongopa wafanyabiashara hivyo hawana hofu wanapo pandisha bei watakavyo maana hata wakubwa wenye maamzi wanafaidika kwa njia moja au nyingine....kwel hawa jamaa ni washamba kweli bei wanajiwekea watakavyo gvt ipo kimya kweli uongoz kaz jaman watu wamechemka hawataki kuachia gamba
Mshamba ni wewe na serikali yako legelege siyo wao wafanyabiashara wao wanacho kiangalia ni faida tu ikiwezekana wapate 1 kwa1000...kwel hawa jamaa ni washamba kweli bei wanajiwekea watakavyo gvt ipo kimya kweli uongoz kaz jaman watu wamechemka hawataki kuachia gamba