Nani anasimamia bei ya gas?

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Kumekuwa na kupanda Holela juu ya Bei ya hii Bidhaa ilikuwa ni Tsh 44,000/- juma lililopita lakini kwasasa imeshafika tsh 50,000/- sababu haijulikani yaani genge la wafanya biashara walanguzi linajiamulia hivihivi na Serikali SiKIVU inakaa kimya?
 
Hakuna regulation kwenye LPGs. Hii inaweza kukupa picha kwamba pamoja na matatizo waliyonayo EWURA wana umuhimu fulani. Nimesikia huko Zanzibar wameanza kutoa bei elekezi za bidhaa muhimu kama sukari n.k. I think that is the way to go.

Huwezi kuwaacha wafanyabiashara wapate faida asilimia mia tano huku mlaji akiendelea kuumia!
 
kwel hawa jamaa ni washamba kweli bei wanajiwekea watakavyo gvt ipo kimya kweli uongoz kaz jaman watu wamechemka hawataki kuachia gamba
 
kwel hawa jamaa ni washamba kweli bei wanajiwekea watakavyo gvt ipo kimya kweli uongoz kaz jaman watu wamechemka hawataki kuachia gamba
Biashara kubwa ni za vigogo hivyo hawaiongopi serikali isipokuwa serikali ndiyo inawaongopa wafanyabiashara hivyo hawana hofu wanapo pandisha bei watakavyo maana hata wakubwa wenye maamzi wanafaidika kwa njia moja au nyingine....
 
kwel hawa jamaa ni washamba kweli bei wanajiwekea watakavyo gvt ipo kimya kweli uongoz kaz jaman watu wamechemka hawataki kuachia gamba
Mshamba ni wewe na serikali yako legelege siyo wao wafanyabiashara wao wanacho kiangalia ni faida tu ikiwezekana wapate 1 kwa1000...
 
yaani mie juzi nimechukia wakati najua orxy walisema bei ya gas kale
kamtungu ka kilo sita ni 19500 nikajikoki kwenda naambiwa 22000 karibu nitoe machoz walahi
wanaudhi sana serekali iangalie manake twaumia buree
 
Back
Top Bottom