Nani anashinda vita Ukraine?

Pumba tupu
 
Warusi na waukraine wa Buza wasioweza hata kutatua changamoto ya maji mtaani kwao watakuja kutoa intelligence report.
 
Kwelikweli inabidi haya mashoga tuyafariji kama hivi
 
We kwani upo dunia gani.wanajeshi wa ngazi ya juu kutoka hayo mataifa walishakamatwa kwenye uwanja wa vita Ukraine
Kweli kazi ipo. Enhe what happened then, Urusi akazishambulia nchi za NATO? Pale jirani kuna Polland, Finland, Estonia, Sweden wote ni wanachama wa NATO, je Urusi alishawahi kurusha kombora likadondokea huko kwenye wanajeshi wa NATO?
 
Kuna tofauti Kati ya support na fight muwe mnaelewa mfano Belarus anasupport Russia Ila hafight
Kuna Msitari mwembamba sana kati ya hao watu wawili kias kwamba Tofauti yao inakosa maana , ndo maana mtu anaetunza Mali za wizi nae hua tuna mchukulia kama mwizi tu, na katika adhabu hua lazima ahusike pia.
 
Russua ameshashinda kitambo sana kwa kumega maeneo ya kimkakati. Uzi ufungwe
Russia ishinde wapi ,mpaka sasa pamoja.na kumdharau Zelensky kwa.kweli namsifu na Ukraine itashinda nawambia .Rusia hawakuamini vita itachukua muda mrefu hivi .Ukiona wewe ulijiandaa sana kupigana na adui na ukachukua muda mrefu ujue utaishiwa pumzi tu
 
"ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu"


Bila shaka wewe ni senior hapo TISS mkuu mpaka umeyajua haya
Basi naomba nikwambie mkuu kuna kijana wako wa TISS ananitafuta na wanajeshi wanataka wanipe kichapo kisa wivu wa mapenzi

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Kunywa soda nitalipa.Nipo hapa kijiweni.Umeshusha point sana
 
Yaani umeandika yaliyokuwa moyoni mwangu.Mkuu pata kinywaji bili yangu.
 
Sasa kama wanataka vita iishe si wangeangusha atomic hapo Kiev
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…