hakuna uchawi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 661
- 679
Anaongoza rais wetu samia kwan we upo nch gani?ndugu
Mungu apangiwi na binadamuNdiyo maana Mungu hakawii kuwachukua watu kama wewe
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wewe gang gani?sukuma gang et al naona kama unachanganyikiwa hata unanvyoandika havieleweki.
Tanzanian GangWewe gang gani?
Umebarikiwa, ila wa Tanzania gang hawanaga hizi akili za kichonganishi...Ukikua utaacha...Tanzanian Gang
Unaiga au kweli ww ni vuvuzela?Mwandishi kasoma sheria ya vyama vingi na sheria ya polisi na wasaidizi wake kuhusu mikusanyiko inayolenga minajili ya kisiasa kwamba lazima wapate kibali wakieleza kikao chao kinalenga nini lakini kilichopo vikao vyao hao jamaa ni kusambaza chuki dhidi ya wananchi na serikali yao kuhusu madai ya katiba mpya kitu ambacho hakina haraka yoyote wala umuhimu wowote kwa sasa hakuna kikao ambacho hao jamaa kinacholenga maendeleo ya mwananchi kama barabara, huduma za maji,huduma za afya zaidi ya kujadili mambo yao binafsi ya siasa za upinzani kiukweli mkulima, machinga, mfanyakazi na wananchi kiujumla katiba iliyopo haina tatizo lolote kwao lakini hao jamaa wana mambo yao binafsi.
Ikimsikiliza vizuri huyu mwamba utaelewa kuwa yote usamayo yeye ameyasema kabla yako👇🏾Salam wanajukwaa!
Sisi wengine tuko vijijini, hivyo, tunaishia kusikia sikia tu kutoka kwenu 'maborn town'.
Tunasikia kuwa eti wao ndio waliomtoa shujaa na kumuweka Masiah wa Fey toto.
Kwamba wao ndio wanateua kuanzia Cabinet members hadi maCEO.
Kwamba wao ndio wako nyuma ya mikataba yote mikubwa.
Kwa ufupi wao ndio huassamble parts zote za chapa hii ya TV, na hata zipatapo hitilafu, ni kiwanda cha pale pale msoga ndio huweka spare parts zingine. Inadaiwa remote wao ndio hubaki nayo, na hupendelea TV ikae Dar kwani ni karibu zaidi kwa remote kufanya kazi na haihitaji dish bali Antena tu kuliko Dodoma.
Shida haya yamekaa kizushi tu. Ushahidi uko wapi? Msoga wanasemwa lakini ushahidi sifuri! Hebu nyie 'maborn town' mtusaidie sisi 'mabush star' ili tupate elewa ukweli wa haya maneno..
Mzee Corleone alinikosha sana pale alipomuita mwanaye na kumuambia[kwa sauti ya karipio];Umbea utaku cost mkuu.
Kanye ukalale Mzee Giza lishaingiaMzee Corleone alinikosha sana pale alipomuita mwanaye na kumuambia[kwa sauti ya karipio];
"tatizo lako nini? Kukaa sana huyo mwanamke kumekufanya akili yako iwe laini?". Bado hii ni moja ya Novel ya kibabe ukiacha Kane and Abel. Username yako imenikosa.
Sasa mkuu umbea wangu uko wapi? Kutaka uthibitisho ni umbea?
Wewe huwa unakunya kabla ya kulala? Maana hayo huwa ni maandalizi ya wanawake kabla ya kulala.Kanye ukalale Mzee Giza lishaingia
Basi kojoa ulale Giza limetanda hakujapambazukaWewe huwa unakunya kabla ya kulala? Maana hayo huwa ni maandalizi ya wanawake kabla ya kulala.
Bila kunitajataja GENTAMYCINE Mimba ya Mumeo haiwezi Kukuingia / Kushika Kwako?Nipo hapa Nasubiria comment ndefu ya GENTAMYCINE