Nani anaongoza nchi?

Nani anaongoza nchi?

Huyu Mh. Rais amepinduliwa na vikosi vya Tanganyika. 2025 siyo mbali, atawekwa pembeni.

Mama aanze kupambana kwa kuwaondoa waasi wote mapema. Asiposhtuka watamlazimisha ajiuzulu urais waweke mtu wao.
 
Mwandishi kasoma sheria ya vyama vingi na sheria ya polisi na wasaidizi wake kuhusu mikusanyiko inayolenga minajili ya kisiasa kwamba lazima wapate kibali wakieleza kikao chao kinalenga nini lakini kilichopo vikao vyao hao jamaa ni kusambaza chuki dhidi ya wananchi na serikali yao kuhusu madai ya katiba mpya kitu ambacho hakina haraka yoyote wala umuhimu wowote kwa sasa hakuna kikao ambacho hao jamaa kinacholenga maendeleo ya mwananchi kama barabara, huduma za maji,huduma za afya zaidi ya kujadili mambo yao binafsi ya siasa za upinzani kiukweli mkulima, machinga, mfanyakazi na wananchi kiujumla katiba iliyopo haina tatizo lolote kwao lakini hao jamaa wana mambo yao binafsi.
Hakuna sheria ya hivyo nchi hii.

Tuletee kifungu cha sheria kinachoweka takwa kama hilo.
 
Mwandishi kasoma sheria ya vyama vingi na sheria ya polisi na wasaidizi wake kuhusu mikusanyiko inayolenga minajili ya kisiasa kwamba lazima wapate kibali wakieleza kikao chao kinalenga nini lakini kilichopo vikao vyao hao jamaa ni kusambaza chuki dhidi ya wananchi na serikali yao kuhusu madai ya katiba mpya kitu ambacho hakina haraka yoyote wala umuhimu wowote kwa sasa hakuna kikao ambacho hao jamaa kinacholenga maendeleo ya mwananchi kama barabara, huduma za maji,huduma za afya zaidi ya kujadili mambo yao binafsi ya siasa za upinzani kiukweli mkulima, machinga, mfanyakazi na wananchi kiujumla katiba iliyopo haina tatizo lolote kwao lakini hao jamaa wana mambo yao binafsi.
Wewe usiwasemee wengine kuhusu katiba mpya,kama huhitaji ni wewe.
Pia fahamu kuwa mambo yote ya msingi huanzia kwa wasomi na watu wachache wakaao mijini.
Hao ndiyo wanaojua dhurma inayofanywa na viongozi.

Mfano mdogo tu,nenda kijijini kwenu kamuulize kuhudu tozo,ushuru,kamuulize neno mrahaba lina maana gani?
Muulize habari ya kero za muungano.

Acha upuuzi wako,hata Uhuru ulidaiwa na wasomi na watu wachache was Dar.

KATIBA MPYA NI TAKWA MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA NCHI NA WATOTO WETU

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwandishi kasoma sheria ya vyama vingi na sheria ya polisi na wasaidizi wake kuhusu mikusanyiko inayolenga minajili ya kisiasa kwamba lazima wapate kibali wakieleza kikao chao kinalenga nini lakini kilichopo vikao vyao hao jamaa ni kusambaza chuki dhidi ya wananchi na serikali yao kuhusu madai ya katiba mpya kitu ambacho hakina haraka yoyote wala umuhimu wowote kwa sasa hakuna kikao ambacho hao jamaa kinacholenga maendeleo ya mwananchi kama barabara, huduma za maji,huduma za afya zaidi ya kujadili mambo yao binafsi ya siasa za upinzani kiukweli mkulima, machinga, mfanyakazi na wananchi kiujumla katiba iliyopo haina tatizo lolote kwao lakini hao jamaa wana mambo yao binafsi.
Jinga kabisa wee,katiba ni chuki,fala weww
 
Amiri Jeshi Mkuu Mwigulu Nchemba
Hili ni swali kila mtanzania inabidi ajiulize.

Unakuwa na Rais anasema polisi waache kuonea watu, hapo hapo anasema ameruhusu mikutano ya ndani ila haya maagizo yake yanakaidiwa na watu ambao inabidi wamtii kama Amri Jeshi Mkuu.

Tunaona polisi wakiendelea kuzuia wanasiasa kufanya mikutano yao na kuwakamata hovyo hata wakiwa makanisani.

Leo Mbatia amesema walipozuiwa kufanya mikutano yao ya ndani, aliwauliza polisi nani amewatuma, akaambiwa kuwa ni maagizo kutoka juu.

Mbatia akasema akawapigia simu IGP na Simbachawene kuwauliza kuhusu nani kaagiza, wakamwambia kuwa hilo sio sawa na polisi wamekosea na hayo maagizo hayakutoka kwao.

Sasa yanayoka wapi? Kwa Rais? Rais ambae alishasema jukwaani kuwa waruhusiwe kufanya mikutano ya ndani? Je Rais ni mnafki?

Kama Rais sio mnfafki kuna kikundi cha watu kinachokaidi maagizo yake. Ninkikundi gani hili tusichokijua. Tundu Lissu na Zitto Kabwe walishadokeza mara kadhaa kuwa kuna watu kwenye "security na political establishment" hawataki mabadiliko, ni kina nani hawa wenye nguvu zaidi ya Rais?

Mi nilisikia sehemu kuwa Samia "sio Rais" na yupo pale kwa maonyesho tu, kufanya uzinduzi, kutoa hotuba nk, ila kuna watu nyuma ndio wanafanya maamuzi. Kama ni kweli ni kina nani hawa?

Hawa "watu" naskia wameenda mbali na kumpunguzia Samia mawasiliano na watu waliomuingiza madarakani. Rais sa hizi hana uhusiano na mawasiliano wa karibu na MaRais wastaafu na baadhi ya viongozi wa upinzani waliokuwa wakimshauri katika miezi ya mwanzoni.

Samia asikubaki kupelekeshwa, atambue kuwa yeye ni Rais na mamlaka yote ni yake. Kama alivyosema Zitto kwenye mahojiano na Star TV juzi, "hakuna Rais nusu".

Akilitambua hili, ataanza fanya maamuzi anayoyaamini yy sio yale wengine qanaotaka ayafanye. At the end of the day sisi wananchi tunajua ni YEYE ndio anasimamia ukandamizwaji huu sio watu hao nyuma. She needs fo protect her image. Kama anaona yamemshinda ajiuzulu.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Hili swali huwa najiuliza sana kiukweli-Na pia haijawahi kutokea JF watu wakawa na consensus kubwa kwenye hii topic kama wakati huu.It's very sad.
 
mnamkosoa mwanamke mwenzenu?
 
Rais ni Nani nchini TANZANIA ni swali zuri sana. maana awamu ya tano Rais alikuwa Magufuli akisema unajua kasema sasa hivi sioni hii hali
yule alikuwa akitembelea maofisini au mahali basi akiwaacha salama, nahisi wafanyakazi wa eneo hilo,

walikuwa wanaingia chooni kujikagua kama wamepakaza mavi kwenye sketi/gauni au suruali.
 
Back
Top Bottom