Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.

Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma

Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?

Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo?
Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro

Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.

Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
 
Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja.

Kwanini atulii kanisani kwake ?

Waumini wake wanachungwa na nani?

Kwanini haubili mavazi?
 
Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja.

Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.

Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Duuh sina hata 2% ya mafanikio yake. 🤣
Ila nilisikia ni law graduate mbona? 😎
 
Tony yuko vizuri ila niliamua kumpuuza baada ya kuona anapenda KISWANGLISH. Mahubiri yake ni kwa wenye hela na wasomi. Nimemweka kundi moja na kina Masanja. Pia kujiunga na tapeli wa Zimbabwe inapoteza imani kabisa. Haiwezekani uwe unapiga madili yaliyokaa kimafia halafu hapohapo uwe mchungaji.
 
Wewe ni nani mpaka umpangie namna ya kueneza injili yake? Acha wibu mtoto wa kiume.

Mwenzako jana amekuja na mada ya kijinga kama ya kwako. Kwani huyu kapola amepora bwana zenu?
Kama mwalimu kama mwakasege sawa.

Ila kama mchungaji inabidi uache kuzurura ukae uchunge kanisa lako.

Watu wake wa morogoro wanachungwa na nani?

Anafuata Hela tu kutwa Dad,dodoma si aende njombe ,iringa ,ruvuma
 
Tony yuko vizuri ila niliamua kumpuuza baada ya kuona anapenda KISWANGLISH. Mahubiri yake ni kwa wenye hela na wasomi. Nimemweka kundi moja na kina Masanja. Pia kujiunga na tapeli wa Zimbabwe inapoteza imani kabisa. Haiwezekani uwe unapiga madili yaliyokaa kimafia halafu hapohapo uwe mchungaji.
Ndo mm nimeshangaa ...na mimi
 
Screenshot_20230703-213355_(1).png
 
Kama mwalimu kama mwakasege sawa.

Ila kama mchungaji inabidi uache kuzurura ukae uchunge kanisa lako.

Watu wake wa morogoro wanachungwa na nani?

Anafuata Hela tu kutwa Dad,dodoma si aende njombe ,iringa ,ruvuma
Acha wivu tafuta hela. Wamissionari walitoka huko mpaka huku kutafuta kondoo

Yesu hakutulia mji mmoja alizunguka sana

Na aliagiza ya kwamba ENENDENI ULIMWENGUNI KOTE... sasa wewe unasoma biblia ukiwa umetumia aina gani ya kikevi mpaka usielewe jambo dogo hilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom