kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 596
- 1,504
kuna siku nilikuwa maeneo ya makumbusho nikaona watu wanaotoka kwenye ibada yake, yale mavazi tu ilitosha kuthibitisha hakuna ibada.Kwanini atulii kanisani kwake ?
Waumini wake wanachungwa na nani?
Kwanini haubili mavazi?
Kwa sasa zigo la kuendesha kanisa kaangushiwa yule dogo lecturer wa SUA aliyeoa pisi kali mwaka juzi. Baba Mchungaji mwenyewe yupo anazunguka kupiga pesa mikoani na kutafuta u celebrity. Dogo mwenyewe aliyeangushiwa zigo ndo kwanza ameanza Ph.D SUA na Ph.D za SUA zilivyo ngumu sijui kama ataiweza huku anaendesha kanisa maana maombi na mikesha ni kama yote wakati huo huo ana familia changa tena yenye watoto mapacha na mtoto wa tatu akiwa njiani.kuna siku nilikuwa maeneo ya makumbusho nikaona watu wanaotoka kwenye ibada yake, yale mavazi tu ilitosha kuthibitisha hakuna ibada.
refer 1 Timotheo 2: 9-10
hapo ibada nzima hakuna roho atakayeongea coz kichwa hakiconnect.Kwa sasa zigo la kuendesha kanisa kaangushiwa yule dogo lecturer wa SUA aliyeoa pisi kali mwaka juzi. Baba Mchungaji mwenyewe yupo anazunguka kupiga pesa mikoani na kutafuta u celebrity. Dogo mwenyewe aliyeangushiwa zigo ndo kwanza ameanza Ph.D SUA na Ph.D za SUA zilivyo ngumu sijui kama ataiweza huku anaendesha kanisa maana maombi na mikesha ni kama yote wakati huo huo ana familia changa tena yenye mapacha na mtoto wa tatu akiwa njiani.
Mungu na Amsaidie 🙏🏿
Sio kazi yangu hiyo.Unaweza kunitajia manabii wa ukweli?
Maendeleo ya kuteketea kwa ngoma?Nguo za hovyo ni zipi? Acheni mind za kufuata tamaduni za kiarabu na kizungu. Uliwahi kuona kuwa wanyama hawajavaa nguo? Mbona wanapendeza? Nguo ni matokeo ya dhambi na ni baada ya Adam na Eva kutenda dhambi kabla ya hapo nguo sio maamrisho ya Mungu Bali ni suala la kitamaduni. Kila jamii, na hata familia Ina tamaduni zake kuhusu Mavazi. Kwanza asili ya mwafrika ni kufunika tuu eneo la mbele tu sehemu nyingine zipo wazi. Kuna baadhi ya jamii za kiafrika pamoja na utandawazi wamedumisha Mila hizo mfano ni WAZULU wa Afrika kusini na Wana maendeleo kuliko sisi. Endeleeni kuwa watumwa wa Mila na tamaduni za kigeni mkidhani mnamfurahisha Mungu
Mungu amtie nguvu baba yao yuko kutafuta Hela mjini kuna hela jamani.Kwa sasa zigo la kuendesha kanisa kaangushiwa yule dogo lecturer wa SUA. Baba Mchungaji mwenyewe yupo anazunguka kupiga pesa mikoani na kutafuta u celebrity. Dogo mwenyewe aliyeangushiwa zigo ndo kwanza ameanza Ph.D SUA na Ph.D za SUA zilivyo ngumu sijui kama ataiweza huku anaendesha kanisa full time maana maombi na mikesha ni kama yote.
Mungu na Amsaidie
Kanisani kwake alianzisha ujenzi mkubwa. Hata kabla haujasimama sawasawa akaona pengine mkwanja ulikuwa unaingia kiduchu. Akaamua kuhamishia huduma kwenye mahoteli makubwa makubwa katika miji tofauti tofauti huku akialika waimbaji wa gospel ma celebrity caliber ya akina Rose Muhando anawalipa millions huku kanisani kwake waumini bado wanapambana na ujenzi.Mungu amtie nguvu baba yao yuko kutafuta Hela mjini kuna hela jamani.
Usiseme sio kazi yako,sema hauna macho ya rohoni, umetawaliwa na matendo ya mwilini na udini umekujaa.Sio kazi yangu hiyo.
Kurudi moro ngumu.Kanisani kwake alianzisha ujenzi mkubwa. Hata kabla haujasimama sawasawa akaona pengine mkwanja ulikuwa unaingia kiduchu. Akaamua kuhamishia huduma kwenye mahoteli makubwa makubwa katika miji tofauti tofauti huku akialika waimbaji wa gospel ma celebrity caliber ya akina Rose Muhando anawalipa millions huku kanisani kwake waumini bado wanapambana na ujenzi.
Huku kwenye ibada na semina za kwenye mahoteli makubwa haya naona ndiko amegundua kuna mkwanja wa kueleweka mpaka ameamua kutelekeza kikanisa chake mazima na kumwachia huyo dogo wa SUA. Na sasa kapata u celebrity fulani nadhani kurudi kwenye kikanisa chake alikoanzia anaona ni kama kupoteza muda tu. Jamaa mmoja ambaye yuko kwenye inner cycle yake anasema kwa sasa anatafuta apartment Masaki ahamie yeye na familia yake. Hicho kikanisa cha huko Uswazi kikimshinda huyo dogo aliyeachiwa naona kitajifia tu!
Pesa mwanaharamu!
Alimtapeli.nani wewe lofa?Ni tapeli m1 hivi mjini.
Ana mafungamano ya huduma yake na tapeli wa Zimbabwe ambaye ni mtakatishaji fedha maarufu sanaa
Usimlinganishe Mwakasege na hawa wahuni mkuu.Ni Kama mwakasege hawana tofauti