Nani anamla nani kwenye sex? 😋

Nani anamla nani kwenye sex? 😋

Ngono Kwa wanaume mara nyingi huchukuliwa kama ushindi au mafanikio (achievement).

Kusema nimemla kunampa mwanaume hisia za kiume (ego boost) mbele ya washikaji zake, ikionyesha kwamba ana uwezo wa kutongoza na kufanikiwa.

Neno "Tumekulana" linapunguza ile hisia ya yeye kuwa mshindi kwa sababu inaonyesha pande zote mbili zilikuwa na nguvu sawa
Kwahiyo nyie mnapenda kujitutumua sio?
Hua kuna ulazima gani kusema nimemla fulani sio ushamba huo?
 
Kwahiyo nyie mnapenda kujitutumua sio?
Hua kuna ulazima gani kusema nimemla fulani sio ushamba huo?
Mwanaume ndiye anayeingiza (penetration). Kwa sababu hiyo, kiakili watu wengi hutafsiri kwamba yule anayeingiza ndiye anaejipatia(kula) na yule anayeingiziwa ndiye anaeliwa (kuliwa).

Hii inafanya lugha ya mtaa kumpa mwanaume uhusika wa mtendaji mkuu, hata kama wote wawili wanashughulika na kuchora hizo sifuri kama ulivyosema!
 
Kiulimwengu mwanaume analiwa
Kwani ukifikia kitendo cha kutoa manii na mwanamke anapokea ni dhahili kabisa ata ukiweka chakula mdomoni mfano ugali unakuwa umeula ugali unakuwa umeliwa
 
Mwanaume ndiye anayeingiza (penetration). Kwa sababu hiyo, kiakili watu wengi hutafsiri kwamba yule anayeingiza ndiye anaejipatia(kula) na yule anayeingiziwa ndiye anaeliwa (kuliwa).

Hii inafanya lugha ya mtaa kumpa mwanaume uhusika wa mtendaji mkuu, hata kama wote wawili wanashughulika na kuchora hizo sifuri kama ulivyosema!
Sawa nimekubali haya ndio upite unasema ni memla fulani
Huo sio ushamba?
Sa nyingine hujalala nae wala nini
 
Back
Top Bottom