Kumbe uliishi Sinza?Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.
Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.
Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.
James Dandu baada kuishi nje sana Uswidi (Stockholm) alikuja na mziki ambao kama mtapata vibao vyake vilikuwa vya kipekee sana.
Alifariki 27 Agosti 2002, Dar es Salaam.
Kitu kama ajari ya gari hivi. Miaka 19 nimemkumbuka baada ya pita pita Youtube kuona nyimbo zake.
Aliacha mke na watoto wawili
Ila mke wake sijui yupo wapi siku hizi.
Nakumbuka 2005 sijui 2007 alikuwa anasoma shule ya Perfect vision alikuwa kituoni anasubiri usafiri kama sijasahau kituo cha Lego sijui mi nilikuwa kwenye usafiri mwengine kwa ghafla nikamkuta kituoni mi mwenyewe dogo kwa kipindi hicho ila nilimzidi umri nikajisemea yule si ndiye anayeigiza? mdomoni mwake kulikuwa na lollipop! Aluu alivyokuwa anainyonya! Nikawa najiuliza anaiona tamu sana au ni vipi?Miaka 18
Miaka 18 now kabaki mifupa tu huko chini
Kifo cha jamaa ndicho cha kwanza.Kwani kati ya kifo cha jamaa na ngoma ya inaniuma saana kipi cha kwanza.. Na nature na sinta walianza michezo yao kipindi gani?
Hahaha!Mpenzi - Cool James (CJ Massive) Feat Mary G!
... hebu wakumbushe kidogo eti Mimi naitwa nani? "CJ Massive Mtoto wa Dandu".
.... hebu wakumbushe kidogo tena Mimi natoka wapi? "CJ Massive unatokea Mwanza"!
Ngoma yake ya Mwisho kabisa, kideoni akitokea kajiachia na Sinta!
Paula Kajalla!!! Hivi wao ni Matrinial family?Sinta alikuwa wamoto kama alivyo Paula Kajala kwa sasa! We unategemea Rayvanny atakula mwenyewe pale
Eeh maana mzee wamemkataa wao wapo kivyaoPaula Kajalla!!! Hivi wao ni Matrinial family?
Sinta sa hivi ni HR Manager wa hospitali moja kubwa sana hapa Dar es Salaam.. Ni hospitali aliyojifungulia mke wa MajizoYah Sinta kwa kizazi cha 90s mwishoni na 2000s mwanzoni alikuwa mkali.
Mkali hasa,hivi yupo wapi sasa?atakuwa amezeeka sasa
Nachojiuliza enzi hizo huyu Elizabeth Michael tayari alishakuwa muigizaji ingawa alikuwa bado mdogok kidogo tulikuwa tunalingana umri. Ila nashangaa huyu Lulu yeye mpaka leo yupo under 25 nimeshampiga gap kubwa la age sasa sijui mwenzangu anakua kurudi nyuma
Amezaliwa 1992....Ila si unajua bongo muvi kwa ku_fake age!Nachojiuliza enzi hizo huyu Elizabeth Michael tayari alishakuwa muigizaji ingawa alikuwa bado mdogok kidogo tulikuwa tunalingana umri. Ila nashangaa huyu Lulu yeye mpaka leo yupo under 25 nimeshampiga gap kubwa la age sasa sijui mwenzangu anakua kurudi nyuma
Aisee kumbe nami muhenga… hivi miaka 18 imepita.. Hizi ngoma tulikuwa tunazicheza shule enzi hizo…Alipataga ajali ya gari pale makumbusho kipindi hicho gari aina ya rock ya Cool James iligongana uso kwa uso na kusababisha madhara makubwa kwa mwimbaji huyu wa music.
Jamaa aliwahi kupiga demu wa Juma nature kipindi ambacho nature anawaka kimuziki na kutokana na maumivu ya mapenzi akatunga kibao cha muziki kinaitwa "inaniuma sana". Mwaka 2002 ni wa kukumbukwa kwani marehemu Max alikuwa muigizaji mwenza wa vichekesho na Zembwela wa wasafi TV alifariki dunia.

Huyu ndo kakongoroka au kuna mwingine 🤷🏼♀️Eeh namba A sahizi full kukongoloka😅😅😅
Sasa kwa hizo filter kuna mtu ambaye ataonekana mbovu? Mie kwa filter pia lazma nionekane Chris BrownHuyu ndo kakongoroka au kuna mwingine 🤷🏼♀️
View attachment 1880790
View attachment 1880791
View attachment 1880792
Sintah nimemwona last week yupo vizuri tuu bila filter yoyote!Sasa kwa hizo filter kuna mtu ambaye ataonekana mbovu? Mie kwa filter pia lazma nionekane Chris Brown
Bado yupo vizuri sanaaSintah nimemwona last week yupo vizuri tuu bila filter yoyote!
Huyu mwamba alitaka kuleta mapinduzi makubwa kwenye bongofleva,alitoka ulaya akaja nchini kuwekeza,lengo ilikuwa kuwainua wengine,naweza kusema kwa ujuzi wa mziki,na kuwa na mkwanja mrefu,ndio Diamond wa kipindi kile 2000,Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.