Nani anamkumbuka James Dandu (Cool James)?

"mtoto wa dandu siku hizi uko wapi,niko arusha na Fadhili Matambi!
Na Machalii wa Chuga niambieni Fadhili Matambi naye yuko wapi siku hizi kwa wanaomfahamu?MMnamuulizia mtoto wa Dandu ambaye ameshakuwa Mwendazake?Nimesahau code number ya Fadhili matambi ila namba zinazofuata ni 60-00-00 kama hajazipoteza wakati zoezi la kusajili line lilipoanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom