Nani anamkumbuka James Dandu (Cool James)?

Mpenzi - Cool James (CJ Massive) Feat Mary G!
... hebu wakumbushe kidogo eti Mimi naitwa nani? "CJ Massive Mtoto wa Dandu".
.... hebu wakumbushe kidogo tena Mimi natoka wapi? "CJ Massive unatokea Mwanza"!

Ngoma yake ya Mwisho kabisa, kideoni akitokea kajiachia na Sinta!
 
Kwani kati ya kifo cha jamaa na ngoma ya inaniuma saana kipi cha kwanza.. Na nature na sinta walianza michezo yao kipindi gani?
Nature kwenye Inaniuma sana anaimba "Sinta na mwenye gari mmoja si walinyonyana,ndimi nje nje mpaka kupata ajali wakati mumewe yu safari,nikikuuliza bwana we wana wivu hao"

Ajali ilianza kabla ya inaniuma sana
 
Alipataga ajali ya gari pale makumbusho kipindi hicho gari aina ya rock ya Cool James iligongana uso kwa uso na kusababisha madhara makubwa kwa mwimbaji huyu wa music.

Jamaa aliwahi kupiga demu wa Juma nature kipindi ambacho nature anawaka kimuziki na kutokana na maumivu ya mapenzi akatunga kibao cha muziki kinaitwa "inaniuma sana". Mwaka 2002 ni wa kukumbukwa kwani marehemu Max alikuwa muigizaji mwenza wa vichekesho na Zembwela wa wasafi TV alifariki dunia.
 
Yah Sinta kwa kizazi cha 90s mwishoni na 2000s mwanzoni alikuwa mkali.

Mkali hasa,hivi yupo wapi sasa?atakuwa amezeeka sasa
Nachojiuliza enzi hizo huyu Elizabeth Michael tayari alishakuwa muigizaji ingawa alikuwa bado mdogok kidogo tulikuwa tunalingana umri. Ila nashangaa huyu Lulu yeye mpaka leo yupo under 25 nimeshampiga gap kubwa la age sasa sijui mwenzangu anakua kurudi nyuma
 
Nachojiuliza enzi hizo huyu Elizabeth Michael tayari alishakuwa muigizaji ingawa alikuwa bado mdogok kidogo tulikuwa tunalingana umri. Ila nashangaa huyu Lulu yeye mpaka leo yupo under 25 nimeshampiga gap kubwa la age sasa sijui mwenzangu anakua kurudi nyuma
Haha makeup zinawadanganya na hizi pics wanazopiga na camera 360 but ukifanikiwa kumuona ndo ameamka kwao asubuhi utakimbia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom