Nani anamiliki vituo vya "ubungo" +" mwenge" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anamiliki vituo vya "ubungo" +" mwenge"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 27, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,483
  Likes Received: 5,719
  Trophy Points: 280
  WAJAMENI NAONA JF TUMEFANIKIWA ZOEZI LA UFISADI WA VITUO KWA UPANDE WA TERMINAL..SASA KUNA HUU UHUNI UNAOENDELEA HAPO OFISI ZA JIJI UKIONGOZWA NA MEYA WETU WA JIJI...KUGAWIA WATU VITUO..HII SIJAPATA KUONA TOKA NITEMBEE NCHI NYINGI TU...KUNA KITUO CHA MWENGE HIKI KILiANZA KIMCHEZO MCHEZO TU...SASA WAKAAMUA KUWEKA GRILL KULE KITUO CHA MABASI YA UBUNGO MWISHO NAKO WAKAANZA KUTUINGIZA KWA KUTOA MCHANGO...SASA JAMANI INAPOELEKEA HII NCHI HAWA HALMASHAURI WANAENDA KUTUFUNGIA HIZI TRFFIC LIGHT KWAMBA KILA MTU AKIPITA TRAFFICLIGHT ATOE PESA...HUU NI UHUNI KABISA NI NJAA AMA NINI...AMA NDIO KAMPENI ZA CCM JAMANI???NO NAOMBA TUACHANE NA HII HALI...TUNAPORELEKA WATAFUNGA VITUO VYA POSTA VYOTE TUANZE KUINGIA KWA MCHANGO...JAMANI BAYA ZAIDI NI ULE MSONGAMANOULIOPO...WANANDUGU...UKIWA KWENYE BASI UNAKUTA MAGARI YOTE YAMESIMAMA WANADAI SH 500 SASA KWA NINI TUCHELESHANE SHUGULINI KWA AJILI YA 500...TUNAOMBA JIJI LLIANGALIE HILI SWALA

  IDD NJEMA
   
Loading...