.......It is a network of networks that consists of millions of private, public, academic, business, and government networks, of local to global scope, that are linked ..
Refer to Internet - Wikipedia, the free encyclopedia.. The Internet has no centralized governance in either technological implementation or policies for access and usage; each constituent network sets its own standards
Kwa uelewa mdogo nilonao na msaada mkubwa wa google na inteenet yenyewe nitajaribu kujibu maswali yako kwa kila nitakapopata muda
Itakapodi nitaweka link lakini kw akuwa umesisisitiza hutaki lin ni taweka link baada ya kutoa maelezo machache. ya hicho nilichoweka link.
Internet ni nini?
Internet ni mtandao( Network) wa kompyuta mkubwa kuliko mtandao yote. Tofauti ya mtandao wa internet na mitandao ya binafasi ya kampuni an mashirikaa au serikali ni kuwa internet ni "decentetralised by design"
Wanaposema interenet ni decentralised by design maana yake ni kuwa haina single point of faulire. Wakati mitandao ya mashirika na makapuni ina "moyo" Eg ukishambulia Domain controller ya UN au Microsoft au wizara ya Ujenzi au Barclasys bank inaweza kuwa down lakini kinadharia internet haiwezi kuwa down
Refer to What is Internet? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary
Wikipedia inasema internet ni mtandao ya mitandao na hapa ninanukuu sehemu ya maelezo yao …..
Wikipedia nao wanasisitiza juu ya dentralised state ya internet kwa malezo haya nanukuuu
Refer to Internet - Wikipedia, the free encyclopedia
thank you mtazamaji
.....ICANN doesn't control content on the Internet. It cannot stop spam and it doesn't deal with access to the Internet......... it does have an important impact on the expansion and evolution of the Internet.
...The mission of the IETF is to make the Internet work better by producing high quality, relevant technical documents that influence the way people design, use, and manage the Internet. Newcomers to the IETF should start here....... Soma maelzo zaidi hapa http://www.ietf.org/
currently, Lulzsec owns the internet! :evil:
Nani mmiliki wa ainternet ?
Ingawa chanzo na umiliki wake mwanzo uliania kwenye jeshi la marekani Hivi Sasa internet haina mmiliki. Lakini kitu kisichokuwa kinaweza kusababisha matatizo kwenye mambo fulani S kuna baadhi ya vitu na mambo ya internet imebidi viwekwe chini na Non profit institution kufanya cordination ya mambo kusitokee mkanganyiko
ICANN- imepewa jukumu la ku crordinate mambo ya DNS na IP adress. Hivi sasa Ip adress zinaztumika ni Ipv4 na dadi ya zilizopo ni chache sana kuendana na mahitaji. So taasisi kama hii ndo itayotoa mwongozo wa jinsi IPv6 inavyotakiwa kuwa.
Soma maelezo ya About ICANN hapa ICANN | About katika maelezo yao unaona wanasisitiza
So unaweza kuona Internet haina manager bali ina tasisi zinazfanya cordination
Taasisis nyingine inahusika na mambo ya internet inaitwa internet Engineering Task Force ( IETF)
settlite ina uhusiano gani na internet?
Katika mawasiliano au communication kuna vitu vikuu
Sasasa satelite ni moja ya medium of communication inayonaotumika kusafiririsha ujumbe kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
- Mtumaji /sender
- Mtumimiwaji /Receiver
- ujumbe - Message/
- Medium- Njia inayotumika kusafirisha ujumbe (
Mawasiliano ya Ulaya na marekani ya internet yanatumia waya uliopita chini ya maji na si satelite. hii medio ya wire inaitwa fiber optic na ndio utakuwa umesikia a hata tanzania na afrika kuna mkonga ulikuwa unatandazwa kuunganisha afrika au africa mashariki na mabara mengine kwa waya hhio za fiber opitic zinazopita baharini.
Huu mkonga ni katika kuboresha quality ya internet ya usafirishaji wa data wa kasi wa internet. Satelite ziko slow ukilinganisha na fiber optic.
Satelite communication s ni somo na mada nyiinginendrefu na interesting sana unaweza kuchgulia hapa HowStuffWorks "How Satellites Work"
thank you!
endeleaza kuuliza tu Rosmarie
lakini sasa ebu na wewe zamu yako taja au fafanua au toa mifano ya faida na hasara ya internet. Au ongelea kitu chochote kuhusu internet ambacho unapenda kutujulisha . Imeandikwa peaneni..... msinyimane. In thi case I mean maarifa teh teh teh teh
Na maarifa yananoga pale yanapo tiririka both side. to and from .
endeleaza kuuliza tu Rosmarie
lakini sasa ebu na wewe zamu yako taja au fafanua au toa mifano ya faida na hasara ya internet. Au ongelea kitu chochote kuhusu internet ambacho unapenda kutujulisha . Imeandikwa peaneni..... msinyimane. In thi case I mean maarifa teh teh teh teh
Na maarifa yananoga pale yanapo tiririka both side. to and from .