Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,096
- 60,806
Cha ziada kwa huyu ndege ni ukubwa wake na ni ndege mkubwa anaeweza kupaa na uzito wake unafika mpaka kg 18
wasalam ndugu mgiriki...hayo mafuta yanapatikanaje?Ni ndege muhimu sana.. Kwa wale wapenda maisha mazuri mafuta ya ndg huyu unapakaa usoni kila siku asubuhi mafuta hayo yanaleta mvuto kutokana na kile unachokihitaji...
Kama unayapaka kwa lengo la wanawake basi ww kila upitapo kila mwanamke atataka kuwa na we...
Kama unayapaka kwa umaarufu tu basi ww utajulikana dunia nzima..
Kama unayapaka kwaajili ya kupata pesa basi ww utakuwa mtu WA kuingiza pesa tu...
Lakn mafuta yake huchanganywa na jivu la bawa lake la kushoto na mavi yake kidogo mabichi aliyokunya asubuhi wakat ametoka kufanya tendo pamoja na damu yake ya kidole cha kati ambacho hukatwa damu ikitoka inahifadhiwa..
Vilevile ubongo wa ndege huyo hutumika kwa wale wababe WA kivita kujitengeneza kihisia au machale...
Huyu ndge ni muhimu sana kwa wajuvi WA mambo
Wajuzi wa ndege (wanyama)(Aves) naomba mtujuze kuhusu huyu ndege anaitwa Bustard family Otididae.
Jina lake kwa kiswahili ni nani haswa?
Ni nini cha ziada ndege huyu anacho? Nasikia mafuta yake yanatumiwa na watu maarufu tuu je ni ya kweli hayo? Na kama ni kweli kwanini mafuta yake yatumike na watu maarufu tu kuna siri gani?
Karibuni wajuzi wa wanyama mtujuze.
Hapo kwenye red umechemka vibaya mno,, tofautisha "Bastard" ya Mwanaharamu na hii Bustard ya huyo ndege anayeitwa Kori Bustard. Yeye kwa Kiswahili anaitwa Tandawala Mkubwa na Mdogo maana wako wa aina mbili Great na Lesser Bustard.anaitwa kori bastard
kwanini anaitwa hivyo?!
huyu yupo tofauti na ndege wengine wa porini na wanaofugwa!
jina la kori bastard lilitokana na tabia ya wazazi kukimbia watoto pale tu mayai yanapototoa.
kipindi cha mate ndege dume hutafuta mtu mzuri na kujenga kiota kizuri ili kuvutia majike!atakaenasa hapo hufanya nae tendo pendwa kisha akishataga analalia huku dume likitafuta chakula cha watoto kwa kipindi chote wakishawatelekeza!kwa kiswahili ni ndege mwanaharamu
million saba unazo?Nikajua labda ni ndege JOHN.
million saba unazo?
Hapo watafutaji umewaweza, hasa pale mpaka ajue kwamba ametoka kufanya tendo!Ni ndege muhimu sana.. Kwa wale wapenda maisha mazuri mafuta ya ndg huyu unapakaa usoni kila siku asubuhi mafuta hayo yanaleta mvuto kutokana na kile unachokihitaji...
Kama unayapaka kwa lengo la wanawake basi ww kila upitapo kila mwanamke atataka kuwa na we...
Kama unayapaka kwa umaarufu tu basi ww utajulikana dunia nzima..
Kama unayapaka kwaajili ya kupata pesa basi ww utakuwa mtu WA kuingiza pesa tu...
Lakn mafuta yake huchanganywa na jivu la bawa lake la kushoto na mavi yake kidogo mabichi aliyokunya asubuhi wakat ametoka kufanya tendo pamoja na damu yake ya kidole cha kati ambacho hukatwa damu ikitoka inahifadhiwa..
Vilevile ubongo wa ndege huyo hutumika kwa wale wababe WA kivita kujitengeneza kihisia au machale...
Huyu ndge ni muhimu sana kwa wajuvi WA mambo
Hakikisha unamkamata akiwa hai baada ya kumkamata mchomoe manyoya ya bawa la kushoto kama matatu ama manne baada ya hapo chukua kinyesi chake kama nilivyoelekeza baada ya hapo mkate kidole cha mguu WA katakat damu yake ihifadhi baada ya hapo mchinje ukisha mchinja mchuje mafuta hyo ndio dawawasalam ndugu mgiriki...hayo mafuta yanapatikanaje?
Ndege gan boomberlinekwani mshana ndio anaefuga ndege