bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Wajuzi wa ndege (wanyama)(Aves) naomba mtujuze kuhusu huyu ndege anaitwa Bustard family Otididae.
Jina lake kwa kiswahili ni nani haswa?
Ni nini cha ziada ndege huyu anacho? Nasikia mafuta yake yanatumiwa na watu maarufu tuu je ni ya kweli hayo? Na kama ni kweli kwanini mafuta yake yatumike na watu maarufu tu kuna siri gani?
Karibuni wajuzi wa wanyama mtujuze.