Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
kama wewe ni mwanaume, kwa nini namba yako isajiliwe kwa jina la mwanamke? Acha kutuzingua, hapo ni mulika mwizi tu...
Hapa naona mbwa kala mbwa!!
Habari,
Kuna mtu anatumia namba hiyo hapo juu, kila nikipiga hapokei, namba hii ilikuwa yangu iliibiwa pamoja na simu yangu yapata miezi 3 iliyopita cha ajabu tangu jana nikipiga inapatikana lakini mhusika hataki kupokea simu, nimfanyaje?
Jamani mbona unauliza swali la ajabu? Mwenye hiyo namba si ni wewe mwenyewe? Huyo anayeitumia sasa hivi ni mwizi tu!!! Kama kweli namba ni ya kwako baada ya line kuibiwa pamoja na simu ulichukua hatua gani? Je ulikuwa umeisajili hiyo namba? Kama kweli ni ya kwako just go and block it!!! Period!!! Jamani si kila kitu lazima kiletwe hapa JF!!!
Tiba
Mmmh, umejibu kwa jazba, anyways hope kakusoma)))
Wewe utakuwa nawe ni mwizi.jamaa zako wamekuzunguka 1 unasema line yako ulii pin swali kwanini uipin unaogopa nani na kwanini ui divert? 2 unasema wewe ni mwanaume wakati line yako ni ya mary auma je wewe ni mwanamke au mwanaume? Wewe mwambie ukweli mke wako hiyo line unajua kabisa ilipo kama kweli wewe sio mwizi kwanini huku swap ili uendelee kuwa hewani? Kwa nini tena una line zaidi ya moja tena za kampuni moja vodacom.
Jamani mbona unauliza swali la ajabu? Mwenye hiyo namba si ni wewe mwenyewe? Huyo anayeitumia sasa hivi ni mwizi tu!!! Kama kweli namba ni ya kwako baada ya line kuibiwa pamoja na simu ulichukua hatua gani? Je ulikuwa umeisajili hiyo namba? Kama kweli ni ya kwako just go and block it!!! Period!!! Jamani si kila kitu lazima kiletwe hapa JF!!!
Tiba
Kwa upande wangu ni MBWA KAONA CHATU!Hapa naona mbwa kala mbwa!!
Kinachoshangaza hapa ni kuwa line hii (0769779533) wakati inapotea nilikuwa nimei-pin yaani mtu akiipiga itaaandika ''Call ended'' muda wote utaona kama sipatikani ila mimi naweza kukupigia, naweza kukutumia sms pia unaweza kunitumia sms pia (kama unajuwa), sasa namba ninayotumia sasa 0769****** wakati
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=5231113
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
Yameisha wakuu, Tuendelee na mengine.
achana naeHabari,
Kuna mtu anatumia namba hiyo hapo juu, kila nikipiga hapokei, namba hii ilikuwa yangu iliibiwa pamoja na simu yangu yapata miezi 3 iliyopita cha ajabu tangu jana nikipiga inapatikana lakini mhusika hataki kupokea simu, nimfanyaje?
Mimi namfahamu! Anaitwa Mary Auma!