SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,251
Historia haiko mbali siku hizi za utumiaji wa technology, nikimaanisha uwepesi wa kupata na kutuma taarifa n.k
Historia inaonyesha ugumu wa waliopata makaburu, wamishionari(wengi walikuwa wazungu wa ulaya) na mabeberu wa Kiarabu ambao wote walifika Africa kufanya biashara.
Historia inaonyesha ugumu waliopata sio kufanya biashara bali ni Lugha, lugha zilikuwa nyingi sana na hivyo kuwafanya wawe na ugumu wa kufikia kule ambako rasilimali zipo.
isitoshe... Udini, ukatili na udhalilishishaji ndio ilikuwa njia pekee ya kutufikia na kutuhadaa kama unavyofanya hapa
Waafrika hawakuwa wamelala kama huyu nye nyere anvotaka tuamini Tulikuwa tumeshazinduka kupindukia Waafrika na hususan Watanzania,
Nye nyere, mengi niliyotaka kusema yameshaguswa
Waganda ni mabeberu wa mda mrefu, Waganda thank Iddi Amin walishazinduka...Kiira ni ya Waganda.
Sera za Ujamaa hapa unaotaka kuaminisha, haukuwa wenye mlengo wa kikomunisti.
Unadai unduminakuwili ukiwa una maana tuchague upande- mmoja kuna siagi au soseji za moscow ukiwa una maana ya kuwa mmoja ni Mkomonisti na mwingine ni Bepari- tuchague upande au tubakie na unduminakuwili ni uwongo na ni propaganda za kibepari.
Hatuna upande.
Tatizo la nishati ni kuwa ulikuwa unahujumiwa. Wewe kama unavyojinadi na ubobezi kwenye ujasusi unalijua hili. Najua hujui.
Serikali ya Awamu ya nne kama ilivyokuwa wa tatu walikuwa na vishinikizo.
Kujengwa kwa bandari bagamoyo ina maana asilimia kubwa za mizigo inatoka na sio kuingia.
Pelekeni propaganda zenu kwenu huko kwenye Demokrasia ya uwongo. Msitulaghai.