Nani analifahamu jimbo la Tandahimba?

Nani analifahamu jimbo la Tandahimba?

kiukweli ccm wana kazi 2015
Wana kazi kubwa si kitoto. Kwanza mchujo itabidi uwe makini. Juma N. hauziki kirahisi kwa wananchi.. Tena ubaya wenyewe hauziki hata kwa wanachama na viongozi wa jumuiya mbalimbali wa chama chake.. Wanaokasirika vibaya wanapigia kura upinzani. Kiukweli kuvunja makundi baada ya uchaguzi ni kazi ngumu asikudanganye mtu!
 
Tandahimba a.k.a. Tanda la Himba! Yaani bwawa la simba..
 
kiukweli ccm wana kazi 2015
Wana kazi kubwa si kitoto. Kwanza mchujo itabidi uwe makini. Juma N. hauziki kirahisi kwa wananchi.. Tena ubaya wenyewe hauziki hata kwa wanachama na viongozi wa jumuiya mbalimbali wa chama chake.. Wanaokasirika vibaya wanapigia kura upinzani. Kiukweli kuvunja makundi baada ya uchaguzi ni kazi ngumu asikudanganye mtu!
 
Lile jimbo nalifahamu vizuri mno ,tangia kata zake .nikweli kuna umeme wa uhakika ila nyumba zenye umeme kwa kwa makadirio ya juu hazijafika 10,000/= na ni wilaya nyenye watu maskini kiliko wilaya zote za mtwara.ila inaongoza kwa uzalishaji wa korosho.kule 90% ni wana cuf.
 
Back
Top Bottom