TLAWI AKONAAY
Senior Member
- Sep 16, 2016
- 110
- 62
nilipoona hii picha nilikumbuka mbali sana. tulipokuwa wadogo mamangu alikuwa anasaga unga kwa kutumia jiwe kama inavyoonekana katika hii picha.ndo tupate uji, na ugali. mama apewe heshima ake.mungu akubariki kwa kunikuza kwa nguvu zako mama.