Nani anakumbuka hii??

Au wengine walikuwa wanafunga soksi za shule unakuwa mpira, ila nadhani pembezoni mwa miji hilo bado lipo usishangae kuona
 
Mkuu umenikumbusha 'chandimu'. Enzi zile - primary school.
 
Tumecheza sana na hilo gozi la kienyeji.
 
Duuh, chandimu! Ligi za mitaani, magoli ya mawe.
 
Nakumbuka ulikua una omba usipate shuti ya tumbo,utalala chini nusu saa.
 
Boflo ... Waganda huwa wanatengeneza kutokana na majani ya migomba! ...

​





​
 
Duh, wakuu mnanikumbusha mbali saaaaaaaaaaaana! Ukicheza unajaa vumbi kama umevaa soksi ndefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…