Padri na shekhe walikutana kwenye ndege, Padri akamkaribisha shekhe kitimoto,shekhe akasema si hatulagi, padri akasema mnakosa uhondo.
Wakati wa kushuka shekhe akamwambia padri msalimie mke wako,padri akajibu sisi hatuoi, shekhe akasema mnakosa uhondo. Je kati ya shekhe na padri nani anakosa uhondo?
Ya sheikh ipo juu sana, maana ktmt ina close substitute.
Kwani Padri akipiga nyeto inakuwa vipi?
Hapo kwenye NYEKUNDU hivi kweli hivi vitu unavyovilinganisha mbona wala havifanani hata kidogo. kingine ni chakula na kingine si chakula, havifanani kwa hiyo havina sifa ya kulinganishwa.
tena sheikh anafaidi zaidi kwani anaweza kuwa na hata wa4
Kwani Padri akipiga nyeto inakuwa vipi?
mkuuu mbona vyote ni vyakula mkuu!
Hapo kwenye NYEKUNDU hivi kweli hivi vitu unavyovilinganisha mbona wala havifanani hata kidogo. kingine ni chakula na kingine si chakula, havifanani kwa hiyo havina sifa ya kulinganishwa.