Nani anakosa uhondo?

Nani anakosa uhondo?

samanya

Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
48
Reaction score
6
Padri na shekhe walikutana kwenye ndege, Padri akamkaribisha shekhe kitimoto,shekhe akasema si hatulagi, padri akasema mnakosa uhondo.
Wakati wa kushuka shekhe akamwambia padri msalimie mke wako,padri akajibu sisi hatuoi, shekhe akasema mnakosa uhondo. Je kati ya shekhe na padri nani anakosa uhondo?
 
Usipokula kiti moto, waweza kula hata nyama ya mbuzi na uhondo ukaupata.
 
padri kakosa uhondo kwa kweli
 
du kitimoto nikitamu ila pale kati duu patamu zaidi!
 
Aaaah!!Nyama kitu gani bana mbona maras hawali na hukuti wakisumbua nayo kichwa!!!Pale kati issue nyingine bana..........!!!
 
zote ni tamu lkn kwa muda ule unaotumia, kama hauitumii ni kawaida tuu
 
ILITAKIWA WAKUTANE NA MCHUNGAJI MAANA MCHUNGAJI ANAFAIDI VYOTE HAPO SHEKHE ANGEZIMIA TU:lol::lol::lol:
 
k ni tamu zaidi ya waiti pepa,huwezi fananisha hivi v2,maana hata pork wenyewe wanaipenda k na ndio maana wanazaliana
 
ya sheikh haifananishwi na kitu chochote ile niyapeke yake, acha mchezo na hapo kati bana palivyo patamu.
 
Sheikh ndo inakula kwake mapadri hawaoi ila wanapiga mech kama kawa
 
Back
Top Bottom