n2bra
Senior Member
- Sep 28, 2011
- 100
- 14
Mdogo alisoma hkl??? Je aliipata hiyo nafasi pale??? Je ulifanya hata research ndogo kuwauliza wanafunzi wa pale kama kuna ambaye amesoma hizo kumbinesheni? Au wewe uliwahi soma pale kwa hizo combination???nina ushahidi asilimia 100 nimewahi kufika hadi chuoni pale kibamba na vipeperushi vyao walinipa nilikua namuhangaikia mdogo wangu
St joseph wana matawi mengi lile la dsm likiwa ndio tawi kuu whatif walikuwa wakitangaza matawi mengine ambayo yanahitaji hao watu mfano tawi la iringa, mwenge, arusha?????