real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,302
sidhani, miaka wanayosoma ni mingi sana sasa hivi, mi naona engineering ingeanza straight baada ya mtu kumaliza form 4 na iwe ya vitendo vingi, elimu yetu naona mtu anazunguka hadi form 6 halafu haisaidii aiseeSerikali iongeze miaka ya kozi zote za engineering kuwa 6 kutoka 4.. haiwezekani tuwe na engineers wengi hadi wanafanya kazi.za technicians.. sasa ivi hakuna tofauti kabisa kati ya technician na engineer..