Nani anaiharibu amani ya Tanzania ni Tundu Lissu wa CHADEMA au ni viongozi wa serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi?

Narumu newz

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
2,319
Reaction score
4,961
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, bila shaka anayeiharibu amani ni viongozi wa CCM wanaotumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende wanavyotaka hawa ndio adui namba moja wa amani ya taifa letu.
 
Viongozi wa ccm ndio wanataka kuleta machafuko. Wanajificha kwenye amani ya mdomoni, huku wanaikwepa haki.
 
We punguani sana, ni lini huyo Lissu aliwahi kutumia maneno ya hekima na busara kama hayo unayobandika hapo?? Kila akihutubia ndani ya sekunde 10 anatamka "Mapambano, Uasi, Kukinukisha" lini aliwahi kusema anataka kukaa mezani!!? Wacha likae mahabusu, ujanja wa kujipiga virisasi vya kuwindia kware umeshajulikana.
 
Amosi MAKALA
Bado hajasema EBOLA na MPOX Virusi vyake Vinauzwa duka gani na shilingi ngapi?
Bado hajasema endapo vikiingizwa nchini vitamshambulia nani na kumuacha nani na kwanini?
 
Kwa viwango vyovyote wewe huna AKILI TIMAMU
 
CCM ndio chanzo cha yote yanayoendelea ,na mbaya zaidi wanasaidiwa na vyombo vya dora
 
Amosi MAKALA
Bado hajasema EBOLA na MPOX Virusi vyake Vinauzwa duka gani na shilingi ngapi?
Bado hajasema endapo vikiingizwa nchini vitamshambulia nani na kumuacha nani na kwanini?
Huyo ndio alitakiwa awe jela kwa kuongea uongo mbele ya kamera,lakini kwa sababu wanalindwa anapeta tu
 


Amosi MAKALA
Bado hajasema EBOLA na MPOX Virusi vyake Vinauzwa duka gani na shilingi ngapi?
Bado hajasema endapo vikiingizwa nchini vitamshambulia nani na kumuacha nani na kwanini
 
Wafanya maamuzi wa hatma ya taifa ndio wametufikisha hapa tulipo!

CCM Wala chadema wanafuata framework ya kilichoamriwa na vyombo vya kijasusi kuhusu hatma ya Taifa!wao hujikuta walipo kutokana na walioamua siasa zetu ziweje!

Kwamfano

1.Ilishaamriwa ccm ndio chama teule kitakachoshika dola daima na vingine kuisaidia Kwa kuikosoa TU na sio kushika Dola hasta kama vina mgombea Bora kuliko wa CCM,ilishaamriwa na maamuzi hayo yanalindwa na vyombo vya Dola bila kujali kama kiongozi anafanya makosa au lah yeye watamlinda na makosa yake!!
2.Ilishaamriwa Upinzani kuteswa na kufunguliwa kesi za hovyo ni kitu Cha kawaida bila kujali kuvunja Sheria na kiongozi anaefanya hivyo hachukuliwi hatua yeyote kisheria Wala kijasusi Hadi muda wake uishe nanukiisha hatoshtakiwa Kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani,hii inamfanya kiongozi ajione Mungu mwenye kuamua lolote bila spid gavana!!

3.ilishaamriwa katiba iliyopo hasta kama ni mbovu iendelee kutumika na kelele za katiba mpya zipigwe na upinzani na sio na wanaccm wenye Dola Kwa hiyo sisi ccm tuendelee kujuamulia hasta kama tunavunja Sheria tuendelee tu hivyo hivyo!!
 
Ene wei ... Kuna mwenye buku mpesa àànitumie wazee ??
 
Huyo ndio alitakiwa awe jela kwa kuongea uongo mbele ya kamera,lakini kwa sababu wanalindwa anapeta tu
Kweli kabisa . Lakini haishangazi sana kwani hata MAHITA aliyekuwa IGP alishawahi kutokeza mbele ya vyombo vya habari akiwa na visu Vyenye ALAMA nyekundu( rangi mojawapo) ya bendera ya CUF . Alidai CUF wameingiza bqndarini MAKONTENA ya VISU na MAJAMBIA ili wavuruge Amani ya nchi.
Cuf chama kisicho na serikali, kinaingizaje majambia bila serikali kujua?alipovamiwa dr. MVUNGI pia palionrkana visu na bastola vyenye bendera ya CDM
LEO MAHITA YU MGONJWA anatembelea fimbo na magongo
 
Kama wewe na bosi wako Lissu mwenye faili mirembe.
Kama lisu Ana faili mirembe wewe la kwako lipo AKHERA MOTONI!?
Unaamini maneno ya lisu " TUTAKINUKISHA" NI MABAYA KULIKO YA MPOX NA EBOLA YA MAKALA?
Utakuwa na matatizo makubwa sana ya akili kichwani.
 
Wanaoharibu amani ni viongozi wa serikali ya CCM wanaotumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende wanavyotaka.
 
Mkuu ccm ni Chama Cha Mashetani. Wanapenda Amani lakini wanaichukia Haki hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…