Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 4,997
Naona CHADEMA bila ruzuku bado kinafedha za kuandaa mikutano ya adhara, ufafhili wao upo chini ya nani? Mbona vyanzo vya mapato havipo wazi?
Mfadhili mkuu wa Chadema ni MunguNaona CHADEMA bila ruzuku bado kinafedha za kuandaa mikutano ya adhara, ufafhili wao upo chini ya nani? Mbona vyanzo vya mapato havipo wazi?
Enzi zile za unyama na ushamba zimeishaTRA joined the chat….
What a run that was, ashukuriwe Mungu.Enzi zile za unyama na ushamba zimeisha
Mbona mkeo ni mmojawapo katika wafadhili, unaacha kuhangaika na anayechota pesa zetu kukarabati viwanja alivyopora unahangaika na vijisenti vya Chadema!Naona CHADEMA bila ruzuku bado kinafedha za kuandaa mikutano ya adhara, ufafhili wao upo chini ya nani? Mbona vyanzo vya mapato havipo wazi?
Wote wenye mapenzi mema nje na ndani ya nchiNaona CHADEMA bila ruzuku bado kinafedha za kuandaa mikutano ya adhara, ufafhili wao upo chini ya nani? Mbona vyanzo vya mapato havipo wazi?
Mkuu Resilience , tuko baadhi yetu tunamjua mfadhili mkuu wa Chadema, kwa vile wenyewe hawamtaji na mfadhili mwenyewe ni muungwana sio mtu wa kujitapa, naomba na mimi nisimtaje.Naona CHADEMA bila ruzuku bado kinafedha za kuandaa mikutano ya adhara, ufafhili wao upo chini ya nani? Mbona vyanzo vya mapato havipo wazi?
Sasa watu hawalipi kaki kaki, hawabebi raiya kupeleka mkutanoni, hawanunulii wanachama wake chochote, sasa garama ya jukwaa ata Sugu anamudu izo garama. Sasa brow ufazili wa nini. Iyo chama ni noma wadau wake wameipenda wengewe ni noma sanaNaona CHADEMA bila ruzuku bado kinafedha za kuandaa mikutano ya kadhara, ufafhili wao upo chini ya nani? Mbona vyanzo vya mapato havipo wazi?
Nenda kapewe na weweHela wanapewa na Samia
ALIYEPA YALE MAMILIONI ya FAINI wakati wa UTAWALA KATILI WA YULE KICHAA NDIO WANAIFADHILI CHADEMANaona CHADEMA bila ruzuku bado kinafedha za kuandaa mikutano ya adhara, ufafhili wao upo chini ya nani? Mbona vyanzo vya mapato havipo wazi?
Hivi wewe uliacha lini kuifadhili? Najua wewe ni mtu usiyependa kujitapa na hupenda kutoa kwa mkono wako wa kulia huku ukihakikisha mkono wako wa kushoto hauoni,hiyo ndiyo difa yako iliyokufanya uifadhili Chadema bila kujulikana.Mkuu Resilience , tuko baadhi yetu tunamjua mfadhili mkuu wa Chadema, kwa vile wenyewe hawamtaji na mfadhili mwenyewe ni muungwana sio mtu wa kujitapa, naomba na mimi nisimtaje.
Hapa nimemdokeza https://www.jamiiforums.com/threads...-zaidi-ya-mshambuliaji.2059203/#post-45063875
Na hapa nimefafanua https://www.jamiiforums.com/threads...li-na-watanzania.1702195/page-6#post-45066996
But you have to connect the dots!.
P