Nani anahisi aibu kukutana na mwenzake? Dr. Slaa au Dr.Dr.Dr.Kikwete?

Topical said:
ujue mkwere siyo expensive..
Wtf! Arrrrgggghhhh! The jacka** spends 200G US$ per overseas trip. His baloney govt spends again 200G per every minister's cars. The dumba** bought Beamers for his vehicle convoys. Now he has switched to Mercedes S-Class 600! Is that not blood sucking expenditures?
 
Hivi wakutane kuna issue gani inawaunganisha?

JK anashughulikia Elimu, Barabara, GDP, ajira...Slaa anashughulikia Katiba hewa, kumfukuza zitto, and trivial political issues..outdated

JK president wa wananchi wote wa Tanzania, Slaa katibu mkuu cdm na rais wa wanachama wa cdm?

Kazi zao tofauti, majukumu tofauti kabisa?

Nionavyo kila moja yuko bize kivyake...hawana sababu ya kukutana they have nothing in common...

JK jenga nchi achana na walalamishi hawaishi popote duniani obama mwenyewe kuna watu wanalalama sembuse bongo!
Kuona aibu si mpaka mtu uwe umeelimika, maana elimu huleta ustaarabu, na ustaarabu ni pamoja na kuheshimu sheria na haki za binadamu ikiwa ni pamoja na kuheshimu matakwa ya wapiga kura. Sasa mkwere na wafuasi wake kama wewe vilaza unategemea wataitoa wapi hiyo aibu?
 
hili swali nimekuwa nikijiuliza sana. labda wana-jamvi mtanisaidia.

hivi? tangu uchaguzi ukwishe hawa ma-dokta wawili walishawahi kukutana fes to fes?

kama hawajawahi kukutana, nani anamgwaya mwenzake?
Taratibu mkuu usije ukanitapisha bureeee, hiyo PhD moja ya ukweli ya mh. Slaa hizo za mkwere hata ziwe milioni bado haziifikii.
 
Hivi wakutane kuna issue gani inawaunganisha?

JK anashughulikia Elimu, Barabara, GDP, ajira...Slaa anashughulikia Katiba hewa, kumfukuza zitto, and trivial political issues..outdated

JK president wa wananchi wote wa Tanzania, Slaa katibu mkuu cdm na rais wa wanachama wa cdm?

Kazi zao tofauti, majukumu tofauti kabisa?

Nionavyo kila moja yuko bize kivyake...hawana sababu ya kukutana they have nothing in common...

JK jenga nchi achana na walalamishi hawaishi popote duniani obama mwenyewe kuna watu wanalalama sembuse bongo!

kikwete ana wasemaji kila kona. ...... sijui hata kama anajua kuwa ana watu wanajitolea kuwa wasemaji wake bila malipo.
Hapo kwenye red .... unaelewa kweli unachoandika ... au ndo ile ushabiki tuu hadi unakuwa kipofu?
 
Ndg. Yangu Topical, uDr. wa canon ni wa kusomea, razima ufanye utafiti ugundue na kuchangia kitu kipya katika taaluma husika. Unaandika tasnifu (thesis) isiyopungua kurasa 300 na razima ukae darasani. Hii ni tofauti kabisa na kuvikwa kofia siku ya mahafali hasa kwa minajili ya kisiasa. Kuna madaktari katika Islamic Law pia. hawa ni tofauti na mashehe katika uelewa wa mambo lakini sana ni tofauti na Haji/Alhaji. Ukipima uzito wa heshima cheo/sifa ya Alhaji ni bora zaidi kuliko Dr. ya kofia. Nadhani umenielewa.

Docta wako wengi..ila huu docta wa Slaa wa canons laws...nafikiri ni wa kuchonga (afadhali a kichina una nafuu) canons laws si unapewa tu kama masharti yao ya misa unafanya vizuri ...

msimwite Dr. muiteni padre aliyebobea akapewa udaktari period mbona mwaficha uchi wandugu? hawezi kuja kwa wasomi wenye PhD? hawezi kabisa?
 
Hivi wakutane kuna issue gani inawaunganisha?

JK anashughulikia Elimu, Barabara, GDP, ajira...Slaa anashughulikia Katiba hewa, kumfukuza zitto, and trivial political issues..outdated

JK president wa wananchi wote wa Tanzania, Slaa katibu mkuu cdm na rais wa wanachama wa cdm?

Kazi zao tofauti, majukumu tofauti kabisa?

Nionavyo kila moja yuko bize kivyake...hawana sababu ya kukutana they have nothing in common...

JK jenga nchi achana na walalamishi hawaishi popote duniani obama mwenyewe kuna watu wanalalama sembuse bongo!

Ajenge nchi ipi kwa ubavu upi. Nchi ambayo amechakachua mpaka umeme. Mwekezaji gani aje kwenye balaa hili. Maji tatizo aje mwekezaji gani hapa petu. Acha kujiliwaza. Jamaa hajui kama nchi yetu masikini. Acha kumsemea wakati yeye aona poa tu!! Labda bize ya kuchakachua mpaka kura za mameya. Hilo kwa hakika wanaliwezea sana. Dar yetu foleni za magari uchumi juu. Huyu ndo mchumi kwelikweli!!
 
hili swali nimekuwa nikijiuliza sana. labda wana-jamvi mtanisaidia.

hivi? tangu uchaguzi ukwishe hawa ma-dokta wawili walishawahi kukutana fes to fes?

kama hawajawahi kukutana, nani anamgwaya mwenzake?

Jibu liko wazi, JK ndio anaona aibu maana ana urais wa kuiba kura, udoctor Feki, Fisadi na anawaonea aibu hadi waTZ ndio maana anashindwa hata kutoka hadharani kuzungumnza na wananchi.

Peoples power
 
Back
Top Bottom