Nani anahisi aibu kukutana na mwenzake? Dr. Slaa au Dr.Dr.Dr.Kikwete?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
hili swali nimekuwa nikijiuliza sana. labda wana-jamvi mtanisaidia.

hivi? tangu uchaguzi ukwishe hawa ma-dokta wawili walishawahi kukutana fes to fes?

kama hawajawahi kukutana, nani anamgwaya mwenzake?
 
Mheshimiwa mtukufu dr. dr. dr. dr. dr. luteni alhaji fisadi mchakachuaji mkwere. Pheew hadi pumzi zimeniishia. Huyu ndie anaemgwaya mwenziwe.
 
Uzuri au ubaya: dhamiri huwezi kuidanganya. Daima itakunong'oneza tu hata kama hutaki. JK dhamiri yake lazima inamshtaki daima baada ya kuingia madarakani kwa njia za udanganyifu. Naamini akikutana uso kwa uso na Dr. Slaa lazima ataona aibu.
 
Docta ni mmoja tu SLAA, huyo mkwere anao udr wa kichina tu.

Bila shaka mkwere atakuwa anaogopa kukutana na silaa ya ukweli!
 
Huyu mtu hana aibu hata kidogo .....angelikuwa na aibu ange kataa kuitwa Dr. nakumbuka Nyerere aliwahi kukataa kuitwa prof.kwasababu yeye ni mwalimu hivyo wasimwite prof. kwa maana halisi ya prof. ni mwalimu wa elimu ya juu (universities) hao ndio watu walio wahi kuwa na aibu sio huyu nyang'au
 
Hivi wakutane kuna issue gani inawaunganisha?

JK anashughulikia Elimu, Barabara, GDP, ajira...Slaa anashughulikia Katiba hewa, kumfukuza zitto, and trivial political issues..outdated

JK president wa wananchi wote wa Tanzania, Slaa katibu mkuu cdm na rais wa wanachama wa cdm?

Kazi zao tofauti, majukumu tofauti kabisa?

Nionavyo kila moja yuko bize kivyake...hawana sababu ya kukutana they have nothing in common...

JK jenga nchi achana na walalamishi hawaishi popote duniani obama mwenyewe kuna watu wanalalama sembuse bongo!
 
Topical hujajibu swali. Umeleeza sababu za kutokutana hivyo ulichojibu siyo sahihi. Nafikiri hili ndo tatizo wanafunzi wanaokalili Nyambali Nyangigwe. Swali jingine unajibu jingine
 
Docta ni mmoja tu SLAA, huyo mkwere anao udr wa kichina tu.

Bila shaka mkwere atakuwa anaogopa kukutana na silaa ya ukweli!

Docta wako wengi..ila huu docta wa Slaa wa canons laws...nafikiri ni wa kuchonga (afadhali a kichina una nafuu) canons laws si unapewa tu kama masharti yao ya misa unafanya vizuri ...

msimwite Dr. muiteni padre aliyebobea akapewa udaktari period mbona mwaficha uchi wandugu? hawezi kuja kwa wasomi wenye PhD? hawezi kabisa?
 
Topical hujajibu swali. Umeleeza sababu za kutokutana hivyo ulichojibu siyo sahihi. Nafikiri hili ndo tatizo wanafunzi wanaokalili Nyambali Nyangigwe. Swali jingine unajibu jingine

Mwalimu mkuu wa JF? pole

Yes, I said again loud and Clear

JK Rais wa Tanzania (wananchi wote), Slaa rais wa wanachama "conservative" wa chadema except zitto et.al

Hawana sababu ya kukutana, hivyo hakuna cha aibu wala nini?

Kila mtu afanye kazi yake 2015 wananchi wataamua kwa kura period (hiyo ni facts)
 
Hivi wakutane kuna issue gani inawaunganisha?

JK anashughulikia Elimu, Barabara, GDP, ajira...Slaa anashughulikia Katiba hewa, kumfukuza zitto, and trivial political issues..outdated

JK president wa wananchi wote wa Tanzania, Slaa katibu mkuu cdm na rais wa wanachama wa cdm?

Kazi zao tofauti, majukumu tofauti kabisa?

Nionavyo kila moja yuko bize kivyake...hawana sababu ya kukutana they have nothing in common...

JK jenga nchi achana na walalamishi hawaishi popote duniani obama mwenyewe kuna watu wanalalama sembuse bongo!

Mkuu naunga mkono hoja yako. Mwache Dr. Dr. Dr. (wa kichina), kanali, mhe. sana kikwete aendelee kujinafasi na mafisadi kuitafuna nchi.
 
Mimi naamini Mbowe et.al wangetafuna sana kuliko mkwere, ujue mkwere siyo expensive..watu wa kaskazini ni mafisi we hujui walivyo walafi...just do your homework!
 
Hivi wakutane kuna issue gani inawaunganisha?

JK anashughulikia Elimu, Barabara, GDP, ajira...Slaa anashughulikia Katiba hewa, kumfukuza zitto, and trivial political issues..outdated

JK president wa wananchi wote wa Tanzania, Slaa katibu mkuu cdm na rais wa wanachama wa cdm?

Kazi zao tofauti, majukumu tofauti kabisa?

Nionavyo kila moja yuko bize kivyake...hawana sababu ya kukutana they have nothing in common...

JK jenga nchi achana na walalamishi hawaishi popote duniani obama mwenyewe kuna watu wanalalama sembuse bongo!

Crap
 
hili swali nimekuwa nikijiuliza sana. labda wana-jamvi mtanisaidia.

hivi? tangu uchaguzi ukwishe hawa ma-dokta wawili walishawahi kukutana fes to fes?

kama hawajawahi kukutana, nani anamgwaya mwenzake?

aliyekimbia mdahalo wakati wa kampeni kuitisha mkutano wa wanahabari wake aliowapa maswali watakayo muuliza lkn bado akionekana kushindwa kukumbuka majibu ya hayo maswali kwa uwezo mdogo wa kukirem na kuchanganya majibu ya swali la 2 kwenda namba 3 and vice versa dr. dr.dr. Heshma.
 
he will never ever make a debate with Dr Slaa on one - one aibu ya mwaka itatokea kwa JK, hata kuongea nae anaogopa.
 
Back
Top Bottom