Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
movie ya kwanza (the unspected journey). ilitoka 2012. mwaka 2013 imetoka the desolation of smaug ndo nataka kuanza kuicheki ila kwa kuangalia highlight naona kutakuwa na movie tatu kama lords of the ring. sema umependa nini kwenye hizi movie mbili?