Nani anafaidika na bomba la gesi toka Mtwara?

Ngwathra

Platinum Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
5,910
Reaction score
11,091
Wanaboadi, hii kitu imekua kimya na huisikii popote tena baada ya taifa la shithole kukopa matrilioni ya pesa ambazo kenge tutalipa maisha yetu yote hadi vitukuu vyetu. Hatusikii kwenye bajeti, TRA, dira ya dunia ya bongo wala wapi!

Mchango wake ni nini? Nani anapata maslahi yake? Nani analimiliki? Hesabu zake ziko wapi? Nani anaaudit huu mradi mkubwa wa kimkakati na kusema tunapata faida au hasara?

Tuache siasa za majichoo tuhoji haya mambo makubwa ya nchi yaliyotekelezwa kwa maumivu makubwa ya sisi kenge wa mama? Majeshi na vifaru vilipelekwa kuufanikisha kumbukeni

Tusaidieni majibu na tuelewesheni, kama ni ubia wa mchina na familia ya msoga pia tujulishwe ili tujue ni mradi binafsi tukome kuuliza mali za watu

Je ni Kagoda, Meremeta, au IPTL ingine nk?
 
Tumewaona kijani walivyoukamatia uchumi wa kenge sawasawa kwa sasa hamna kilichofichwa sana tena!

Wenye chama lao...
 
Wanaboadi, hii kitu imekua kimya na huisikii popote tena baada ya taifa la shithole kukopa matrilioni ya pesa ambazo kenge tutalipa maisha yetu yote hadi vitukuu vyetu. Hatusikii kwenye bajeti, TRA, dira ya dunia ya bongo wala wapi!

Mchango wake ni nini? Nani anapata maslahi yake? Nani analimiliki? Hesabu zake ziko wapi? Nani anaaudit huu mradi mkubwa wa kimkakati na kusema tunapata faida au hasara?

Tuache siasa za majichoo tuhoji haya mambo makubwa ya nchi yaliyotekelezwa kwa maumivu makubwa ya sisi kenge wa mama? Majeshi na vifaru vilipelekwa kuufanikisha kumbukeni

Tusaidieni majibu na tuelewesheni, kama ni ubia wa mchina na familia ya msoga pia tujulishwe ili tujue ni mradi binafsi tukome kuuliza mali za watu

Je ni Kagoda, Meremeta, au IPTL ingine nk?
Mkiambiwa nchi imeshikwa na wahuni mnajifanya hamuelewi
 
Nakumbuka mikataba 19 kwa hati ya dharura nachoka watu walipigwa kama wezi ndani ya taifa lao
 
Wanaboadi, hii kitu imekua kimya na huisikii popote tena baada ya taifa la shithole kukopa matrilioni ya pesa ambazo kenge tutalipa maisha yetu yote hadi vitukuu vyetu. Hatusikii kwenye bajeti, TRA, dira ya dunia ya bongo wala wapi!

Mchango wake ni nini? Nani anapata maslahi yake? Nani analimiliki? Hesabu zake ziko wapi? Nani anaaudit huu mradi mkubwa wa kimkakati na kusema tunapata faida au hasara?

Tuache siasa za majichoo tuhoji haya mambo makubwa ya nchi yaliyotekelezwa kwa maumivu makubwa ya sisi kenge wa mama? Majeshi na vifaru vilipelekwa kuufanikisha kumbukeni

Tusaidieni majibu na tuelewesheni, kama ni ubia wa mchina na familia ya msoga pia tujulishwe ili tujue ni mradi binafsi tukome kuuliza mali za watu

Je ni Kagoda, Meremeta, au IPTL ingine nk?
Abdul na Rost tamu
 
Mchango wake ni nini? Nani anapata maslahi yake? Nani analimiliki? Hesabu zake ziko wapi? Nani anaaudit huu mradi mkubwa wa kimkakati na kusema tunapata faida au hasara?
Mbona ni zile familia pendwa?
Mungu yupo kama ni haki, unalipwa mafao makubwa hivyo lkn bado unashiriki wizi wa kipumbavu!
 
Back
Top Bottom