dorcas1234
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 116
- 34
Habari za asubui wana jamii, leo asubuhi katika ukurasa wangu wa FB nimekuta kuna mtu ameniambia kuhusu mkopo unaotolewa na SOCIAL CREDIT COMPANY kulingana na utapeli uliozagaa naomba mwenye kufahamu au anaejua ukweli au ambaye amewahi kunufaika na taasisi hii naomba tujuzane kwa maelezo zaidi unaweza kuingia hapa
www.social company.wapka.mobi/index.html
www.social company.wapka.mobi/index.html