WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
Dr.slaa×3
WanaJF,
Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.
Kaka umechapia, kwani hii sindo 2015?
Ulimaanisha 2016,2017.........
Mtaje kwa mtiriko kutoka wa kwanza hadi watatu mwanasiasa unaeona anafaa kuwa Rais wa awamu ya Tano wa Tanzania.
NB: Unaruhusiwa kuweka jina la mwanasiasa yeyote (Chama Tawala/Upinzani). Huitaji kutoa sababu.
Mimi naanza:
1. Dr. W. Slaa
2. T. Lissu
3. B. Membe
Kinene is absolutely right the phrase is always "you made my day" not "you make..." as you portray to correct him/herMkuu ni make sio made kwa grammar ya hapo
Hatuwezi kumhukumu Kinana kwa asili yake tutampima kwa utendaji na uzalendo wake!huu ni upuuzi ambao KENYA waliuendekeza mwishowe wasomali wanawasumbuahatuitaji wasomali kutuongoza.