Salute. Naunga mkono hoja ya Kinana kushawishiwa kutangaza nia ya urais . Kwa jinsi hali ilivyo mpaka sasa kuna hatari ya nchi kugawanyika kwa watia nia wliopo. Kinana ana uwezo mkubwa wa kuunganisha watanzania na anakubalika CCM, yaani hajaonyesha kuwa na kundi na hii ni dalili nzuri. Kinana anayajua vyema matatizo ya wananchi. CCM hawatahitaji nguvu nyingi kumnadi Kinana. Hofu yangu ni kuhusu uraia wa Kinana.