mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Hahaaaa nimecheka!!
Eti kazi ya kutembea na mukasi
U made my day
Mkuu ni make sio made kwa grammar ya hapo
Hahaaaa nimecheka!!
Eti kazi ya kutembea na mukasi
U made my day
Hvi huyo lowasa ndiye pekee mwenye uwezo kati ya watanzania wote milion 45?maana naona wafuas wake wamekalia kumsemea kuwa ana uwezo wkt uwazir mkuu tu aliushndwa!
We, EL awe 2-IC hiyo haitokei na wala hatakubali, hiyo Kazi ya kutembea na mikasi wanaiweza Wazanzibari
wote tisa kumi lakn kati ya Membe, nyalandu, makamba na kigwangala mmoja wao akiwa rais naama nchi
Membe hajakubalika kabisa