Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
umeongea na mkeo au?
Ndo Rais huyo shauri yako.
umeongea na mkeo au?
Watanzania tulimpigia kura JK aongoze taifa hili. Wakati tunampigia ulikuwa wapi? Acha dharau kwa mkuu wa nchi. pumbaf zako.kikwete ni mnafiki no 1
Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki
We, EL awe 2-IC hiyo haitokei na wala hatakubali, hiyo Kazi ya kutembea na mikasi wanaiweza WazanzibariCCM wanavitu vingi wameviangalia ili kuwapata mabwana hawa kuwa mgombea na mgombea mwenza. Kwanza baada ya Tanganyika kukalia kiti cha urais kwa miaka 20 ni dhahiri kuwa sasa ni haki ya Mzanzibari kukikalia kiti. Pili kwa kuwa wanasheria yao ambayo haijaandikwa ya kubadilisha mgombea kwa misingi ya dini yaani Muislam-Mkristu-Muislam-Mkristu. Sasa rais inatakiwa awe Mkristu, na wakristu kwa kuwa nao wanamakundi na waliotangulia wote ni wakatoliki sasa anatakiwa awe mprotestanti.
Mgombea urais ni mtu msomi na mzoefu kwenye sehemu nyingi ikiwemo jeshini na mahakamani na hana kashfa za kupenda penda hela. Na anauwezo wa kushiriki mdaharo wa wagombea (maana mwaka huu ni lazima hakuna kuingia mitini kama last time).Na kwakuwa huyu mgombea mwenza ni maarufu sana na ameshadhihirisha kuwa anawafuasi wengi hata nje ya chama basi yeye ndiye atatumika kuipatia CCM kura kiurahisi.
Wagombea ni hawa.
Mgombea - Judge Augostino Ramadhani
Mgombea Mwenza ni Edward Ngoyai Lowassa.
Lowasa
CCM wanavitu vingi wameviangalia ili kuwapata mabwana hawa kuwa mgombea na mgombea mwenza. Kwanza baada ya Tanganyika kukalia kiti cha urais kwa miaka 20 ni dhahiri kuwa sasa ni haki ya Mzanzibari kukikalia kiti. Pili kwa kuwa wanasheria yao ambayo haijaandikwa ya kubadilisha mgombea kwa misingi ya dini yaani Muislam-Mkristu-Muislam-Mkristu. Sasa rais inatakiwa awe Mkristu, na wakristu kwa kuwa nao wanamakundi na waliotangulia wote ni wakatoliki sasa anatakiwa awe mprotestanti.
Mgombea urais ni mtu msomi na mzoefu kwenye sehemu nyingi ikiwemo jeshini na mahakamani na hana kashfa za kupenda penda hela. Na anauwezo wa kushiriki mdaharo wa wagombea (maana mwaka huu ni lazima hakuna kuingia mitini kama last time).Na kwakuwa huyu mgombea mwenza ni maarufu sana na ameshadhihirisha kuwa anawafuasi wengi hata nje ya chama basi yeye ndiye atatumika kuipatia CCM kura kiurahisi.
Wagombea ni hawa.
Mgombea - Judge Augostino Ramadhani
Mgombea Mwenza ni Edward Ngoyai Lowassa.
Lowasa
EL Ameshawekeza kwenye urais,kamwe hawezi kukubali kuwa mgombea mwenza.
Kabla ya nje kukutana na UKAWA. Kuna mnyukano mkali wa ndani wenye hoja nzito ikiwemo ya wazanzibar kutaka rais atoke kwao. Kumbuka CCM wameshafanya kosa kwenye katiba yao lazimishwa kwa kuandika kuwa makamu wa rais atatoka ZanzibarHuyo EL pekee ndiyo anaweza cheza karata za UKAWA. Wakifanya kosa inakula kwao au wajitoe kabisa waanze kujipanga upya warudi baada ya 5 yrs
Mkuu wazanzibar wanakarata turufu kwenye mchakato ndani ya CCM. Wakiletewa mchezo wao watasema tunajitoa kwenye muungano kitu ambacho CCM ya sasa chini ya Dr. JK hawako tayari. So EL itabidi akubali tu kujifunza mambo ya kutembea na mikasi.We, EL awe 2-IC hiyo haitokei na wala hatakubali, hiyo Kazi ya kutembea na mikasi wanaiweza Wazanzibari
We, EL awe 2-IC hiyo haitokei na wala hatakubali, hiyo Kazi ya kutembea na mikasi wanaiweza Wazanzibari