Rais asiye na kashfa ya kupenda hela halafu makamu awe na kashfa ya kupenda hela!!
Sijui umesoma ulichoandika au ndio umeletwa kupima upepo?
Kama CCM ina mpango wa kuendelea kukaa madarakani basi wamkabidhi hiyo bendera Magufuli...huyo ndo mwanaCCM pekee ambaye hata akienda kwenye majimbo/ngome kali za upinzani/CHADEMA, bado anakubalika!!
Kama CCM ina mpango wa kuendelea kukaa madarakani basi wamkabidhi hiyo bendera Magufuli...huyo ndo mwanaCCM pekee ambaye hata akienda kwenye majimbo/ngome kali za upinzani/CHADEMA, bado anakubalika!!
Huyu mtu wako hana charisma ya uongozi. uongozi wake unatokana na mamlaka na jazbaKama CCM ina mpango wa kuendelea kukaa madarakani basi wamkabidhi hiyo bendera Magufuli...huyo ndo mwanaCCM pekee ambaye hata akienda kwenye majimbo/ngome kali za upinzani/CHADEMA, bado anakubalika!!
Wagombea ni hawa.
Mgombea - Judge Augostino Ramadhani
Mgombea Mwenza ni Edward Ngoyai Lowassa.
Lowasa
Hawa watoto bado akina Nyalandu, Makamba na Kigwangala. Kwa Membe ni bora tusifanye uchaguzi aendelee Kikwete. Tofauti ya Kikwete na Membe ni ndogo mno kama ipo na watu tunataka mtazamo mpya.wote tisa kumi lakn kati ya Membe, nyalandu, makamba na kigwangala mmoja wao akiwa rais naama nchi
We, EL awe 2-IC hiyo haitokei na wala hatakubali, hiyo Kazi ya kutembea na mikasi wanaiweza Wazanzibari
Huyo EL pekee ndiyo anaweza cheza karata za UKAWA. Wakifanya kosa inakula kwao au wajitoe kabisa waanze kujipanga upya warudi baada ya 5 yrs