Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
We umetumwa haatuongozwi na Muislamu tena. ..its our time
Aliyeyakataa Nyerere haya
We umetumwa haatuongozwi na Muislamu tena. ..its our time
Mkuu tunao watanzania wazuri ila hawapo ccm-hila za ccm(Chama cha Panya) kwenye uchaguzi ndizo zimetokosesha watu wa aina ya kagame for a long time
Mimi nafikiri rais nimtakaye Ni yule atakayeweza kujibu maswali yangu kadhaa na kuyapatia majibu sahihi.Mimi Ni boss mahitaji mfanyakazi hivyo nitamfanyia usahili kwanza,akijibu viziri nitamwandika kazini.But lazima atoke NJE YA CCM.NASEMA TENA LAZIMA ATOKE NJE YA MFUMO DHAIFU WA CCM.
yupi kati ya hawa unapendekeza kuwa rais wa tanzania 2015-2020:-steven wassira,mizengo pinda,wilbroad slaa,edward lowassa,january makamba,bernad membe,samwel sitta,lazaro nyarandu na prof ibrahim lipumba.JF mods naomba mnilinde kwa hili ili tuje tumpate RAIS PENDEKEZWA WA JAMIIFORUM.nawasilisha
hon pdidy.......yupi kati ya hawa unapendekeza kuwa rais wa tanzania 2015-2020:-steven wassira,mizengo pinda,wilbroad slaa,edward lowassa,january makamba,bernad membe,samwel sitta,lazaro nyarandu na prof ibrahim lipumba.jf mods naomba mnilinde kwa hili ili tuje tumpate rais pendekezwa wa jamiiforum.nawasilisha
Edward Ngoyai Lowassa!
Maamuzi magumu na makini
Mi sielewi akili za baadhi ya Watanzania wenzetu. Kwa miongo kadhaa sasa watanzania walikuwa wakikurupuka na kutangaza sifa za marais wa taifa letu, ambao tumegundua kama ni uozo mtupu, kama huyu wa sasa.
Hainiingii akilini watanzania kurudia makaosa yale yale ya kila muongo kwa kutuletea viongozi wabovu! Kila mtanzania anamjua Lowassa. Huyu alihusika na richmond (wizi na ufisadi kwa taifa letu) huyu ndo mmoja ya watu wanaopitapita kila mahali akitoa hongo (rushwa ya kusha urais) makanisani, misikitini na kwenye makundi mbalimbali. Leo mtu kama Loyoni unakuja na propaganda rahisi juu ya mtu huyu: eti :yell: Lowassa ana
Maamuzi magumu na makini! :yell: Rushwa, wizi na ufisadi ndo maamuzi magumu na makini? Kama kamati ya nidhamu yaya ccm imempa hata adhabu kwa rushwa huyu unayemwita Lowassa... uadilifu wake utatoka wapi?
Ufisadi, wizi na rushwa ni pepo... ambalo lipo ndani ya Lowassa! Sasa pepo hilo linamsukuma autake urais kwa uba na ubani .... kwa Lowasa Ikulu kuna nini anakokimbilia?
yupi kati ya hawa unapendekeza kuwa rais wa tanzania 2015-2020:-steven wassira,mizengo pinda,wilbroad slaa,edward lowassa,january makamba,bernad membe,samwel sitta,lazaro nyarandu na prof ibrahim lipumba.JF mods naomba mnilinde kwa hili ili tuje tumpate RAIS PENDEKEZWA WA JAMIIFORUM.nawasilisha
Tunamtaka Rais atakaekataa maovu ya UFISADI, UJANGILI, RUSHWA, Rais mwenye Uwezo wa Kurejea Mikataba yote na kuyafutilia mbali kasha kudai fidia kwa hasara iliyopatikana, Tunamtaka Rais atakae dhibiti Mfumuko wa Bei na kufanya Currency Devaluation kwa maslahi mapana ya Taifa, Tunamtaka Rais mwenye vision ya Maendeleo na mwenye kuamini katka maendeleo ya watu na vitu, Tunamtaka Rais atakaekuja na programu ya HRP Human Resource Planning! Rais atakaehakikisha kuwa kila Resources tulizojaaliwa na Mwenyeezi Mungu zinakuwa na Wataalam waliobobea! Tunamtaka Rais atakaekataa UJINGA wa IMF, World Bank na The so called nchi Wahisani kutuingiza chaka kwenye miradi ya Umeme, Gas na Madini!!! Tunamtaka Rais atakae thamini Wananchi badala ya Wageni... Kama Yupo anyooshe KIDOLE JUU!!! Binafsi nitahakikisha namuweka pale Magogoni...